Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

Kumbe jana wakati unabishia kuhusu kaburi juu ya dari ndo wakaamua kukufanyia kamchezo nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu tudamu hatukuonekana kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimechekaaaa kama mazuri vile 😁😁😁
Achana na damu imagine ngoma ipo middle no in no out....

Unabaki unawaza tuu hapa nafanya nn maana ngoma hata ukikata ujue bado mzee
 
Aisee hiyo ngoma sometimes ndio unahisi kwa mbali kidogo maumivu ya kuzaa one day nilipata shida sitasahau mpaka leo nikijifanya nimejisahulisha kwenda chooni siku tatu naanza kunywa mimaji na kujiandaa kisaikolojia
 
Ahahahahah mkuu mkuu acha tuuu...
Sasa mimi jana mchana mambo yalikua poa ilivofika usiku nikasema ngoja nende bana....

Khaaa yani ukisimama ipooo ila ukichuchuma hakuna kitu hata dalili mkuu mi iliwahi nitokea sana tu ila ya jana ile nin historia kwangu
 
Mimi nimebadili lifestyle maana yale maumivu mpaka mayai viza kama yanapasuka hivi unaona ule msemo wa ngamia kupita kwenye tundu la sindao ni huu hapa practically

Nakunywa maji sana pia mimi hua najali privacy ya chooni sana hivyo usiku sana au mida no people ina na hakikisha haipiti siku 2 sijahudhuria

Pia nilijifunza nisiwe muonga sio kwamba nimeumia leo siendi week kila kuogopa kuumia ikifika muda wa kazi mpaka macho yanakuwa kengeza kwa kuapply unlimited force ila pumzi inakata unaanza upya

Nashukuru sasa hivi sio shida saana
 
Back
Top Bottom