Saa moja na dakika 17

Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhh

Kubwa ni habari nyingine mkuu acha tuuu naheshimu sana kwa sasa
Mwaka mmoja Nimeenda kwenye matibabu hosp flan hivi ,nikiwa folen kulikua na bwana mmoja pembeni ,kumbe alikua na iyo shida ,alichomoka kama risasi kwenda chumba cha doctor tulisikia akisema , doctor okoa maisha yangu kwa gharama yoyote tumbo litapasuka ,nipo kwenye hatari kuu ,kwenye bench vicheko.
Yule doctor akatuomba amsaidie yule bwana , wakati anatoka jinsi jamaa alivyokua anamfuata kwa nyuma ,watu vicheko, dunia hii
 
Ahahahahahahahhahahhahahah nimecheka sana mkuuu daaah aiseeee hii ni hatarii sana..

Jamaa hapo akili zishahaka ujue yaani haelewi kitu afanye nini aiseeee wanasema omba. Yasikukute mkuuu omba yasikupate ..

Mi nawaza jana kama kungekua na mtu ana nisubiri nje pale wallah ningekosa hata confidence ningesema niliweke..

Ina mana leo ndo ningekua naingia kwenye masurubisho
 
Wanasmaje mkuu kuna mambo bila D mbili huelewi ila hili mkuu ombea lisikukute shukuru Mungu umekunywa maji...

Lisaa limoja na dakika 17 lilikua kama miaka mitatu kwangu
31
Pole sana mkuu , ungekula matunda mchakato ungeenda vizuri 😁
Siku nyingine aende na kisu au fork. Ngoma ikigoma anaikata au anaichokoa.
 
31

Siku nyingine aende na kisu au fork. Ngoma ikigoma anaikata au anaichokoa.
Mkuu hii hali naimani ikikupata .... Utakumbuka hivi vitu kweli...

Alafu hata kama una mwili vipi hapa utatulia tuuu yaan ukijifanya ww mwamba utachanika...

Ila ukiwa cool aaaah utasurubika kidogo tu
 
Nanina..ungekufa tungekula rojo!
 
Ngano sio mbaya ila usile sana manake inachelewa kujichakata tumboni kula mboga mboga matunda kwa wingi maji pia kwa wingi ika mwaikimb@@@@@ Toke vzuri
 
Umesahau 'baba lao' mkuu, chipsi
Mmmh chipsu unazani zina ile result ya chap..
Fanya hivi leo kula skonzi za buku na juisi alafu kesho asubh kula chapati marage ... Kesho mchana kula miogo ya miasaba na maji kidogo..
Alafu usiku wake kula skonzi...

Kesho kutwa wee kula.miogo yako baso alafu sasa jioni ya kesho kutwa nenda chooni....

Naimani utaandika kitabu kabisa
 
Ngano sio mbaya ila usile sana manake inachelewa kujichakata tumboni kula mboga mboga matunda kwa wingi maji pia kwa wingi ika mwaikimb@@@@@ Toke vzuri
Mkuu nilikua naona sitoboi kabisa..
Jna mda kama huu nilikua sijui kama kuna mashambulizi yanakuja
 
Maji ni muhimu sana Mkuu, mim nauliza fu, ulikaa toi masaa mangapi ngoma haitaki kutoka? πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kunywa maziwa ya mtindi pia walau mbili moja kwa wiki Mkuu na mazoezi fanya pia.

Kama unakula mkate kulala basi kula brownbread hakikisha kuna jam/peanut/asali na tunda kama ndizi au parachichi au mboga mboga/ kachumbari

Pole sana Mkuu.
 
Maji ni muhimu sana Mkuu, mim nauliza fu, ulikaa toi masaa mangapi ngoma haitaki kutoka? πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kunywa maziwa ya mtindi pia walau mbili moja kwa wiki Mkuu na mazoezi fanya pia.

Pole sana Mkuu.
Mkuu nikuambie kitu kimoja tu...
Unapokua na ile hali hata ukinywa nini mechanism ya kulainisha inafanyikaga ikiwa kwenye part za mwanzo za utumbo mpana..

Ila ukiona ishafika chini huku hapo ni nguvu zako na uvumilivu wako wa maumivu makali ..

Gogo alitoki likitoka lina stak somewhrre hapo huna budi kusimama an
 
Nimecheka kifala sana
Unaweza hisi umefanyiwa namna na waja πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…