4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu acha kabisa yaani siwezi kuelezea duhhhhh
Mwaka mmoja Nimeenda kwenye matibabu hosp flan hivi ,nikiwa folen kulikua na bwana mmoja pembeni ,kumbe alikua na iyo shida ,alichomoka kama risasi kwenda chumba cha doctor tulisikia akisema , doctor okoa maisha yangu kwa gharama yoyote tumbo litapasuka ,nipo kwenye hatari kuu ,kwenye bench vicheko.Kubwa ni habari nyingine mkuu acha tuuu naheshimu sana kwa sasa
Yule doctor akatuomba amsaidie yule bwana , wakati anatoka jinsi jamaa alivyokua anamfuata kwa nyuma ,watu vicheko, dunia hii