Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyakula vya nyuzinyuzi tena mkuu ahahaNaona umesahau kuongezea hapo chini kwamba kula zaidi vyakula vya nyuzi nyuzi.
Pole sana mkuu ngoma ikiziba hadi mishipa ya machoni huwa inaonekana.
aya pole mkuu,, tafuta io dawa alokwambia vincenzo itakusaidia,,usizidshe dozi utakuja humu tena kuomba ushauri,,ukipata choo laini tu acha kunywaNideke mtu mzima mkuu..
Wewe kijana mi mtu mzima naongea haya namaanisha
Sio rahisi kufa ila kuchanika kinyeo huwa ni very prone, hata hivyo kwa wewe haijaishia hapo sababu umeweka gundi nyingi sana tumboni kwa ngano nyeupe ulokuwa ukiila. Cha muhimu kula sana mboga mboga za majani na matunda hasa parachichi na mapapai pia kula sana kachumbari.Daaah shukran mkuu wangu..
Jana kwangu ni hostoria sijui ingetokea nimekata moto wangesema nini kimeniua
aya pole mkuu,, tafuta io dawa alokwambia vincenzo itakusaidia,,usizidshe dozi utakuja humu tena kuomba ushauri,,ukipata choo laini tu acha kunywa
Huyo jamaa jau sana ujueaya pole mkuu,, tafuta io dawa alokwambia vincenzo itakusaidia,,usizidshe dozi utakuja humu tena kuomba ushauri,,ukipata choo laini tu acha kunywa
Unaniona kwenye kona ya choo hapa?yani wewe kila kona upo
achana nae,, lakin dawa ni ya ukweli,mimi ilinisaidiaHuyo jamaa jau sana ujue
Mkuu ukichanika inakuaje an..Sio rahisi kufa ila kuchanika kinyeo huwa ni very prone, hata hivyo kwa wewe haijaishia hapo sababu umeweka gundi nyingi sana tumboni kwa ngano nyeupe ulokuwa ukiila. Cha muhimu kula sana mboga mboga za majani na matunda hasa parachichi na mapapai pia kula sana kachumbari.
unafanya nini huko bwanUnaniona kwenye kona ya choo hapa?
SINA SINA SINA SINA SINA SINA bawasiliamna bwan,,hadi kufkia stage ya kuchanika io n shda nyingine,,labda kama angekua na bawasili tayar
Mchawi huyounafanya nini huko bwan
Huyo heshima zeroTokapa nawewe
Shukran itabidi nifanye hvo japo taenda duka la dawa mbali na hapaachana nae,, lakin dawa ni ya ukweli,mimi ilinisaidia
Basi usikubali ikupate wahi matibabuSINA SINA SINA SINA SINA SINA bawasili
Kwani nimevunja sheria za JMT?unafanya nini huko bwan
Kwa bandiko hilo, vyakula vya nyuzi nyuzi havikosi hapo 😂Vyakula vya nyuzinyuzi tena mkuu ahaha
Hahahaha sawa,,ila mbon n magonjwa ya kawaida ayoShukran itabidi nifanye hvo japo taenda duka la dawa mbali na hapa
ApigweHuyo heshima zero
Daaah aiseeeBasi usikubali ikupate wahi matibabu
hapana mkuuKwani nimevunja sheria za JMT?