Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #101
Ulikua mdogo mkuu hivyo hata ile hard yake haikua kiivyo..aloooh,,kwa mara ya kwanza ilinpata nkiwa la tano,tena ilikua jumatano tunawahi kurud kufua, nkasema nptie choon kwanz,yaliyonkuta aseeee,,toka saa saba nilfka nyumbani saa kumi😰.
Kwaio siogopi kitu 😂
Ila ushauri tuu usije kula ngano dry