Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

aloooh,,kwa mara ya kwanza ilinpata nkiwa la tano,tena ilikua jumatano tunawahi kurud kufua, nkasema nptie choon kwanz,yaliyonkuta aseeee,,toka saa saba nilfka nyumbani saa kumi😰.

Kwaio siogopi kitu 😂
Ulikua mdogo mkuu hivyo hata ile hard yake haikua kiivyo..

Ila ushauri tuu usije kula ngano dry
 
Ulikua mdogo mkuu hivyo hata ile hard yake haikua kiivyo..

Ila ushauri tuu usije kula ngano dry
ikaja ikarudia tena 2019 hii ndo nilkuja kukaa sawa 2020 kwa dawa fulani iv,,tena 2021 hii nayo niltafta mnyonyo ndo had saiv,,weeee n sugu mm saiv😄😄
 
Hapana, sijawahi kupitia hiyo adha ila nimesoma mambo ya vyakula na ustawi wa mwili na nikajifanyia mwenyewe majaribio nikapata majibu
Daaah shukran mkuu wangu..
Jana kwangu ni hostoria sijui ingetokea nimekata moto wangesema nini kimeniua
 
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.

1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)

2- kunywa maji ya kutosha

3- Ukihisi haja nenda mda huo huo


Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Hivi mikate aliyowalisha Yesu wale makutano ilikuwa ya zao gani?
 
unaongea nini m nilkua naingiza hadi kidole kuchokonoa🤮🤮🤮🤮kanaanguka kamoja kamoja kama ka mbuzi😂😂😂ukisema usimame ulirudshe ndani aseeeee lazma ulie
Kheeeee wewe...
Eeeeeh ebu kwanza anza mwanzo wee ulikua unakula nini
 
Nime screenshot toka mda ushauri wako na hii dawa mkuu asante sana..

Hi dawa kwani inatibu nn staki nifike pale yule mdada wa famasi aanze kujiuliza maswali ya ajabu mana nafahamiana nae
We nawe,,kamwambie hata ndugu ako anashida na alishawahi tumia,, ingawa mm hua nasema tu direct
 
Kheeeee wewe...
Eeeeeh ebu kwanza anza mwanzo wee ulikua unakula nini
Hio ya la tano,kuna ndizi fulani ivi ukila tulikua tunaziita funga choo,sasa mama akanambia m nkasema ndo safi nakula nisiwe naenda chooni 😄kilichonkuta niljuta🙌🏾
Hio ya pili nilkua napendelea kula tambi,mkate na soda,na chips,, aloooh 🙌🏾 🙌🏾 niache mm
 
Back
Top Bottom