Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

Unaonekana huli matunda ya kutosha na maji ngano wala hainashida chakula kikubwa cha wazungu 80% ni ngano mbona wao wapo fresh
Daaaah mkuu ile hali nasema ikija jirudia tena....
Sijui itakuaje hvi hiki kitu kimefanya niwaze mno aiseee
 
Wakuu habari za mda huu..

Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu..

Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu..

Wanasema haya mambo hayamkuti nyani..

Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta..

Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema

1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)

2- kunywa maji ya kutosha

3- Ukihisi haja nenda mda huo huo


Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako...

Jamani tunywe maji... Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..

Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)

Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake...
Asanteni...,.

Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji....

Utakiwi kujilazimisha kunywa maji, unatakiwa Uishi Maisha yatakayo ku support kunywa maji!
 
Wakuu habari za mda huu.

Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.

Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.

Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.

Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.

Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.

1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)

2- kunywa maji ya kutosha

3- Ukihisi haja nenda mda huo huo


Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.

Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..

Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)

Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.

Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Shetani toooookaaaaaa! Tookaaaa! Oooouuuuut!
 
Back
Top Bottom