Doooh!!Ahahaha mimi nilikua natumia kutwa mara tatu... Na juisi tu
Kila chakula kinatumiwa kwa kiwango mkuu.
Wali wenyewe pia mzuri ila sio ukiula kwa fujo.
Pia chakula chochote cha ngano usile bila kilainishi kama siagi,jibini,mchuzi,mbogamboga n.k n.k.
Usithubutu kula ngano kavu itakuua.