JOHNGERVAS JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 1,487 Reaction score 2,599 Apr 25, 2025 Thread starter #21 Pray π pray
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,775 Reaction score 3,983 Apr 25, 2025 #22 Infropreneur said: Ukimaliza kuomba ujue kwamba Mungu wa mafanikio ya kimiujiza Hayupo. Click to expand... Mungu yupo, yupo kabisa. Ni bora uamini yupo halafu usimkute kuliko kuamini hayupo halafu umkute anakusubili huku akiwa na fimbo ya kukutia adabu ukome utomaso.
Infropreneur said: Ukimaliza kuomba ujue kwamba Mungu wa mafanikio ya kimiujiza Hayupo. Click to expand... Mungu yupo, yupo kabisa. Ni bora uamini yupo halafu usimkute kuliko kuamini hayupo halafu umkute anakusubili huku akiwa na fimbo ya kukutia adabu ukome utomaso.
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,578 Reaction score 31,662 Apr 25, 2025 #23 MR KUO said: Mungu yupo, yupo kabisa. Ni bora uamini yupo halafu usimkute kuliko kuamini hayupo halafu umkute anakusubili huku akiwa na fimbo ya kukutia adabu ukome utomaso. Click to expand... Huyo Mungu akiaminiwa, anafaidika nini? Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini? Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
MR KUO said: Mungu yupo, yupo kabisa. Ni bora uamini yupo halafu usimkute kuliko kuamini hayupo halafu umkute anakusubili huku akiwa na fimbo ya kukutia adabu ukome utomaso. Click to expand... Huyo Mungu akiaminiwa, anafaidika nini? Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini? Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?