Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

Ngoja nikuulize swali... Unahisi kipi kinaleta dharau zaidi.... Kati ya kutokuwa na pesa kwa mpenzi wako au kushindwa kumpelekea moto kisawasawa?
Kutokuwa na pesa Ata mbususu upewi ukiwa na pesa usipo mpeleka moto akitoka utasifiwa sifa zote 😹😹 pesa tamu ww
 
Pole sana mkuu, mi siku hizi sina huo muda wa kuongea na ke wangu zaidi ya dakika 3, tena hapo ni salam na maelekezo basi.

Huna muda wa kuwa nae karibu acha kumfuatilia utakufa bure, nishamuibia mtu tunda lake huko nae naona nikiwa na mpenzi wangu anapiga simu sana hataki kukubali ndio kashaachwa. Ila mapenzi ni kutesa kwa zamu🙌🙌🙌
 
Nilipokuwa kwenye 20s, 30s, ilinipa kazi sana, kuumizwa na wanawake, Ila baadae,nilielewa codes, I, could smell a go digger, miles away! Akifungua mdomo tu, na, kuanza kuongea, body languages, najua kabisa hapa nitapigwa na kitu kizito,"navaa kabisa element"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…