Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.
Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo kumbe hata anaweza kununua hiki, acha kushangaa shangaa mjini hapa kuku we🤣 😅
Weka imani na kitu flani, zungukia kukiulizia acha kumzungukia kila siku Mwajuma wa Mtaa wa pili bata we😜 Route zako ziamishie Kwenye jambo lako lenye tija.
Sasa kama nimefoka shauri yenu, mimi naenda na niwatakie siku njema na Jumapili njema 🙏
🤦🤪🏃