Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

ni kama hayati Dr Shika..alikuwa na ujasiri wa kununua nyyumba za lugumi maana alijua kabisa zie hela zake one day zitakuja
 
ni kama hayati Dr Shika..alikuwa na ujasiri wa kununua nyyumba za lugumi maana alijua kabisa zie hela zake one day zitakuja
Sasa hela haziji bila kuchukua hatua kuendana na visualization yako,la sivyo utaishia tu kwenye 'procrastination'.
 
Sina hatia mama!

joshua_ok amekuzidi maendeleo.
Mwenzio ana mjengo Kerege, gari la kuendea ofisini! Wewe una nini, maphumbu?

Narudia: Sina hatia mama!
Naona Moderator wameondoa post yangu.

Ila wewe Mpk nikutoe Nyaa na Hizo ID zako nyingi nyingi ndipo tutaelewana.
 
Back
Top Bottom