Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

Unajua mjeda ndio mtu unaweza mburuza kuliko mtu yeyote duniani endapo utajiamini.

Wewe siki vaa vizuri nguo kama za mazoezi tracksuit then ukimuona mjeda muamuru Hey 'we Afande njoo' mbona upo apa...piga magoti kwanza.
Ni kweli mkuu
tena siku moja moja unaenda pale lugalo unamkamata mjeda mmoja unamnyang'anya bunduki yake then una ji karanga fotooo......
Sio kila siku bunduki washike wao tu, ng'ombe we!!!
 
Unajua mjeda ndio mtu unaweza mburuza kuliko mtu yeyote duniani endapo utajiamini.

Wewe siki vaa vizuri nguo kama za mazoezi tracksuit then ukimuona mjeda muamuru Hey 'we Afande njoo' mbona upo apa...piga magoti kwanza.
Wew wwe

Sent from my Infinix HOT 4 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hii kwa kitaalamu inaitwa The power of visualization.

The oldest story of visualization came from the very first Bibles. In these youwill read that Jacob wanted to produce spotted cattle inorder to be allowed to marry Rachel.


What did he do? He cut little round bits of bark off the trees, and laid these pieces of wood at the bottom of a dear stream where thecattle drank.

Every time the beasts looked into the water, they visualized these spots, and their offspring brought Jacob his longed-for spotted cattle.
 
Huo muda wa kukimbizana na hela hautoshi, wa kuzurura yards sijui naupataje. Nitaishia kugugo tu niendelee kupata hasira
 
Genye za asubuhi zinakusumbua. Mmeo hatoshi?

Pigwa ngebe mammae ukatimua mbio! 😁😁
Mshikaji alikushika matako aisee, maana ulikuaga unajidai sana unajua system za magari, kumbe boya tu!
 
Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.

Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo kumbe hata anaweza kununua hiki, acha kushangaa shangaa mjini hapa kuku we🤣 😅

Weka imani na kitu flani, zungukia kukiulizia acha kumzungukia kila siku Mwajuma wa Mtaa wa pili bata we😜 Route zako ziamishie Kwenye jambo lako lenye tija.

Sasa kama nimefoka shauri yenu, mimi naenda na niwatakie siku njema na Jumapili njema 🙏

🤦🤪🏃
Naunga hoja Mkuu,.. sometyme Maisha ikiwa ngumu tunalainisha na Dream.
 
Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.

Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo kumbe hata anaweza kununua hiki, acha kushangaa shangaa mjini hapa kuku we[emoji1787] [emoji28]

Weka imani na kitu flani, zungukia kukiulizia acha kumzungukia kila siku Mwajuma wa Mtaa wa pili bata we[emoji12] Route zako ziamishie Kwenye jambo lako lenye tija.

Sasa kama nimefoka shauri yenu, mimi naenda na niwatakie siku njema na Jumapili njema [emoji120]

[emoji1751][emoji2957][emoji125]
Yaya unaishi wapi ?
 
mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
Nitakuiga
 
kuna lile tangazo "ilo panga boy apo sh ngap??" mwisho wa siku msela na mbwembwe zake zote ana buku[emoji16][emoji16] ndo unaishia kuitwa ndorobo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi jf ni shingapi..?
Benz je,nishingapi..??
14 M 🤣 🤣
1598855888589.png
 
I love you free of charge.
Ahahahahaha.
Kama Dokta Shika aliyeamka na elfu 2100 mfukoni alithubutu mpaka anapata contracts za matangazo je mimi !!!!
Brake ya kwanza Yard moja pale Magomeni leo hii
 
Power of Trying
 

Attachments

  • 2501673_IMG_20200829_204721.jpg
    2501673_IMG_20200829_204721.jpg
    51.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom