Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Yani mtu akisoma hili bandiko anaweza chukulia masihara, Kuna ujumbe muhimu Sana hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Bibi mi staki matani nawe niache..😂🏃🏃
Masawe....!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Big up mkuu, lazima ungefanikiwa maana tayari mind set yako ipo kama ya huyo mzungu, si unaona sasa, umerudi bongo nawe umeanza kutoa connection(hizo ndio mindset sasa za watu wa kufanikiwa), hawaoni noma kuwanyanyua wenzaoUlichokisema ni kweli nakumbuka mwaka 2007 nilipata shavu... La kwenda serena hotel , kila mwaka huwa wana sherehe zao pale katika hotel za serengeti nilibahatika kuhudhuria sitahau mpk sasa ... Nilikutana na mzungu anaitwa olivier goetzl. .... ndiye mmiliki wa myspace . Com lkn pia ana miiliki kampuni ya gulo film production ndio kampuni inayoongoza kwa kupata tuzo mbalimbali duniani kutokana na video za wanyama pori ,uki mgoogle utaona kaxi nyingi alizofanya lakini pia ana miliki studio kubwa sana pale ujeruman marsh marigold record ... Inajihisha na kurekodi nyimbo za sali , ukweli alipa shavu kubwa sana .. nikapata scholar ship kubwa sana ya kwenda kusoma ujeruman mechanics engeer nikala miaka mitatu pale PASSAU UNIVERSTY , ada yote alinilipia yeye na likizo nilifanya kazi za kumsaidia pale simrock mtaa namba 111 hurbug ...nilijifunza kitu mpk sasa kuna group fb huwa namwaga madini sana ya magari , nilichojifunza ukitaka kuyashinda maisha jaribu kwanza kubadili fikra kabla ya kuanza kujiangalia kile ulichonacho .... Mpk sasa nipo bongo ila nimetoa connection nyingi za watu kuajiriwa ujerumani hasa vijana mm ni muajiriwa SERIKALINI ...... TUSAIDIANE TUINUANE KAMA VIJANA
Ndoto yangu kubwa na furaha yangu ni kuona vijana wanafanikiwa lkn pia wanamilki chuma za maana hapa townBig up mkuu, lazima ungefanikiwa maana tayari mind set yako ipo kama ya huyo mzungu, si unaona sasa, umerudi bongo nawe umeanza kutoa connection(hizo ndio mindset sasa za watu wa kufanikiwa), hawaoni noma kuwanyanyua wenzao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dahtatizo wafanyabiashara wetu wa bongo ni wakarimu[emoji23] unaenda kuulizia kitu anataja bei unamwambia basi siku nyingine lakini yeye anazidi kukupunguzia tu bei.kuna siku jamaa alinipunguzia laki nzima kwenye fridge
Mimi: hii fridge bei gani ?
muuzaji: hii laki nne na nusu boss wangu
Mimi: oh basi nitarudi (huku naanza kuondoka)
muuzaji:boss nipe nne kamili (huku ananishika mkono)
mimi:hapana,parefu sana
Muuzaji:basi nipe tatu na nusu
Ma exposure yakutosha🤣🤣🤣🤣mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
Umenifurahisha sana hapo mbagala kichem chem.mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
Lady, exposure hazilipi bills.mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
Mipira mikali taja mipira mitano mikari kwa kijana mwenye 27Ndoto yangu kubwa na furaha yangu ni kuona vijana wanafanikiwa lkn pia wanamilki chuma za maana hapa town
Ndio maana kule fb na hubiri sana kuhusu ndinga kali kali japo na za mjapani nagusa kwenye group x
Nimegundua hana exposure 🤣🤣🤣Umenifurahisha sana hapo mbagala kichem chem.
Kuna siku nilitoka na mshikaji wangu nait kali....tukaenda night club moja ya kishua. Tukanywa Virgin Mohito glass 2 kila mmoja...nikalipa elfu 40 tukasepa.
Sasa demu wake akawa amekuja getto kwake (ana funguo) demu akawa mkali usiku ule anatoka wapi?
Akanipigia simu nikaenda. Nikasolve msala na katika kutia mbwembwe nikamwambia shem sisi hatujafanya jambo baya tumekunywa tu VIRGIN MOHITO tukarudi. Utata ukaanza hicho ndio kinywaji gani? Mnanidanganya...waongo nyie....hehehe nikacheka.
Nikamwambia siku moja mwambie bro akupeleke kisha agiza hiyo kitu na ulipe. Pale pale nikagundua demu hana exposure.
Kuna kisa kingine....kuna demu nilikua namfukuzia anasoma chuo by then. Nikampeleka hotel moja hivi tukapata late lunch. Tumemaliza kula nikachukua toothpick nikawa nasafisha meno. Akaniomba na mimi naomba toothpick, nikamuonesha kwa ishara hizo hapo maana zilikua upande ule aliokaa yeye. Kumbe hajazijua, akakaa tena akanikumbusha toothpick....ikabidi nimchukulie nifungue nimpe. Toothpick za hotel zinakuwa covered kama straws za juice vile. Yeye hajazoea hizo mambo.
Kwa namna alivyokuwa sikutarajia kuwa hajui kama zile ni toothpick....nikagundua hana exposure.