Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Sijasoma chochote ila hicho kichwa cha habari ni chamoto sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn bado hununui hahahatatizo wafanyabiashara wetu wa bongo ni wakarimu[emoji23] unaenda kuulizia kitu anataja bei unamwambia basi siku nyingine lakini yeye anazidi kukupunguzia tu bei.kuna siku jamaa alinipunguzia laki nzima kwenye fridge
Mimi: hii fridge bei gani ?
muuzaji: hii laki nne na nusu boss wangu
Mimi: oh basi nitarudi (huku naanza kuondoka)
muuzaji:boss nipe nne kamili (huku ananishika mkono)
mimi:hapana,parefu sana
Muuzaji:basi nipe tatu na nusu
kudadadeki umetulenga wanaume tu tena kibabe fresh, okey kina mwajuma wao wafanyaje??Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.
Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo kumbe ata anaweza kununua hiki, acha kushangaa shangaa mjini hapa kuku we🤣 😅
Weka imani na kitu flani zungukia kukiulizia acha kumzungukia kila siku Mwajuma wa Mtaa wa pili bata we😜 Route zako ziamishie Kwenye jambo lako lenye tija,
Sasa kama nimefoka shauli yenu mimi naenda na niwatakie siku njema na jumapili njema 🙏
🤦🤪🏃
mi nikiwaambia watu Wananipinga[emoji23] exposure sio lazima nje ya nchi kuna vitu ukivifanya unaonekana mkubwa sana mi naulizia bei ya Nyumba masaki,Bei za Maserati yani mambo expensive lakini mfukoni sina mbuni
naeza enda yard ina mandinga ya kila dizaini nayatathimi hapa nataka lipi nikitoka hapo naenda kunywa Cappucino level 8 hyatt au Mojito Hamilton's Gastropub Johari Rotana nikitoka hapo narudi kwetu Mbagala kichemchem nalala na Ma exposure ya kutosha
Lkn bado hununui hahaha
umenena mkuuNenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje.
Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo kumbe ata anaweza kununua hiki, acha kushangaa shangaa mjini hapa kuku we[emoji1787] [emoji28]
Weka imani na kitu flani zungukia kukiulizia acha kumzungukia kila siku Mwajuma wa Mtaa wa pili bata we[emoji12] Route zako ziamishie Kwenye jambo lako lenye tija,
Sasa kama nimefoka shauli yenu mimi naenda na niwatakie siku njema na jumapili njema [emoji120]
[emoji1751][emoji2957][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]tatizo wafanyabiashara wetu wa bongo ni wakarimu[emoji23] unaenda kuulizia kitu anataja bei unamwambia basi siku nyingine lakini yeye anazidi kukupunguzia tu bei.kuna siku jamaa alinipunguzia laki nzima kwenye fridge
Mimi: hii fridge bei gani ?
muuzaji: hii laki nne na nusu boss wangu
Mimi: oh basi nitarudi (huku naanza kuondoka)
muuzaji:boss nipe nne kamili (huku ananishika mkono)
mimi:hapana,parefu sana
Muuzaji:basi nipe tatu na nusu
[emoji3][emoji3][emoji3]eti nalala na maexposure ya kutosha.
Ila wazo la mleta mada liko vizuri.
Hivi jf ni shingapi..?
We Bibi mi staki matani nawe niache..😂🏃🏃Ngoja nimuite umuulize vizuri ..... 😜😜😜😜
Hello Maxence Melo
Nakusabahi tuu na kukutakia jumapili njema.
Cheers.