Saad Mtambule : Wanafunzi mkawaambie wazazi juu uhamiaji haramu Kinondoni

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
07 Agosti 2026
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

SAAD MTABULE : WANAFUNZI MKAWAAMBIE WAZAZI JUU UHAMIAJI HARAMU KINONDONI

View: https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amewataka wanafunz i kutokaa kimya na KUWAFICHUA wahamiaji haramu

Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kinondoni inatekeleza kampeni ya "Mjue Jirani Yako" na kuanzisha Klabu za Uhamiaji mashuleni ili kutoa elimu ya utambuzi wa wahamiaji haramu kabla ya kuchukua hatua za kisheria. Hatua hii inalenga kujenga uelewa kwa jamii na wanafunzi kuhusu sheria za uhamiaji.

Mikakati ya Elimu na Uhamiaji Kinondoni
Kampeni ya Mjue Jirani Yako: Inahimiza wananchi kuwajua majirani zao ili kubaini uwepo wa raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume cha sheria.

Klabu za Uhamiaji Mashuleni: Zimeanzishwa ili kuwapa wanafunzi uwezo wa kumtambua mhamiaji haramu na kuelewa athari zake tangu wakiwa wadogo.

Ushirikiano wa Viongozi: Viongozi wa wilaya wanahamasisha jamii kushirikiana na Idara ya Uhamiaji Tanzania kutoa taarifa za uvunjifu wa sheria

1786150622641.png

Photo: Mayor Songoro Mnyonge during past event of CCM party rally 2025
 
ENGLISH

07 August 2026
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

SAAD MTABULE: STUDENTS, TELL YOUR PARENTS ABOUT ILLEGAL IMMIGRATION IN KINONDONI TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w
Kinondoni District Commissioner, Saad Mtambule has urged students not to remain silent and EXPOSE all illegal immigrants in Tanzania.

The Kinondoni District Immigration Office is implementing the "Know Your Neighbor" campaign and establishing Immigration Clubs in primary and secondary schools to provide education on identifying illegal immigrants before taking legal action. This measure aims to build awareness among the young Tanzanian community and students about immigration laws.

Education and Immigration Strategies in Kinondoni District Dar es Salaam Tanzania:
Know Your Neighbor Campaign: Encourages citizens to know their neighbors to identify the presence of foreign nationals living in the country illegally.

School Immigration Clubs: aimed to empower students to recognize illegal immigration and understand its effects from a young age.

Leaders' Collaboration: Kinondoni District leaders including mayor Songoro Mnyonge to encourage and radicalised communities to collaborate with the Tanzania Immigration Department to report any violations of the immigration laws
1786151127496.png
 
gestapo ya nazi germany na hata communists khmer rouge wa kambodia Santeba ndivyo walivyofanya kwa kukusanya na kuuwa milions of people, wananchi walifundishwa hivyo hivyo halafu wananchi wanashitaki kwa gestapo, wanakuja na kukamata watu to concentration camps. ikumbukwe tanzagiza ni ngumu sana kuthibitisha uraia wa watu.

communists khmer rouge waliua nusu nzima ya population ya kambodia to stay in power ...
 
07 Agosti 2026
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

SAAD MTABULE : WANAFUNZI MKAWAAMBIE WAZAZI JUU UHAMIAJI HARAMU KINONDONI

View: https://m.youtube.com/watch?v=d7oFRuKVK-w
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amewataka wanafunz i kutokaa kimya na KUWAFICHUA wahamiaji haramu

Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kinondoni inatekeleza kampeni ya "Mjue Jirani Yako" na kuanzisha Klabu za Uhamiaji mashuleni ili kutoa elimu ya utambuzi wa wahamiaji haramu kabla ya kuchukua hatua za kisheria. Hatua hii inalenga kujenga uelewa kwa jamii na wanafunzi kuhusu sheria za uhamiaji.

Mikakati ya Elimu na Uhamiaji Kinondoni
Kampeni ya Mjue Jirani Yako: Inahimiza wananchi kuwajua majirani zao ili kubaini uwepo wa raia wa kigeni wanaoishi nchini kinyume cha sheria.

Klabu za Uhamiaji Mashuleni: Zimeanzishwa ili kuwapa wanafunzi uwezo wa kumtambua mhamiaji haramu na kuelewa athari zake tangu wakiwa wadogo.

Ushirikiano wa Viongozi: Viongozi wa wilaya wanahamasisha jamii kushirikiana na Idara ya Uhamiaji Tanzania kutoa taarifa za uvunjifu wa sheria

View attachment 3645895
Photo: Mayor Songoro Mnyonge during past event of CCM party rally 2025

Ukishakua kada wa CCM hata Kama hujui KISWAHILI wewe ni mtanzania
 
Wazazi tusio wanaccm haituhusu.
 
Waache usanii hawa mafisadi. Airport wanapita wachina kibao huku wakitoa hongo halafu wanakuja kuleta usanii wao. Hii mijitu ya CCM ni fisi kabisa. Ukishaona hiyo mi-guo ya kijana jua ni tapeli. Hata kwenye picha sura inaonekana.
 
Huko Mkuranga Wachina wana kadi za CCM!!
 
Kama hyo keko imejaa wakongo tupu na guest house nyingi ndo wamezichukua wao...wanakuja kama gear ya kuja kuchukua mizigo kariakoo ila wengi wanabaki
 
Back
Top Bottom