Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Mkiwa mnanufaika walaaa hamsemi ila mkishachenjiana ndo mnaanza kuanikana! πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Eliud ni mzembe sana
yani ni kama uajiri ndugu yako akutie hasara umuweke ndani, ndugu waanze kusema una roho mbaya
We mfanyakazi anakuibia mpk anaagiza vogue we bado hujui kama sio kutafutia watu lawama
Then baada ya kuanza kudaiwa kwnn usingesimamia mwenyewe mchakato wa mali zako kuuzwa kisha kinachopatikana ukaenda kumlipa Salaah kiasi anachokudai.
We bwana umejichanganya ukaleta ushkaji na boss tena ingekuwa Tajiri mwingine pengine saivi ungekuwa ushapotezwa
Hafanyi kitu yule mama, sana sana ataitwa akanywe chai Salamander, hata sijui ndio wapi hapo..Hii sasa ni dharau ya hali ya juu kwa Mama, achukue actiom kwenye hii tuhuma kubwa.
Awe makini sana, wasije wakammaliza aiseeNasubiri mtoa mada atusalimie pakikucha hapa JF
Yaani kumuamini mtu kwenye biashara alf akufanyie ujinga inauma.Yaani huyu Pius na kusaidiwa kaona haitoshi kaibz pesa za rafiki yake sjui afungue kampuni,anunue vogue sjui afanye nin kweli binadamu hawana shukrani. Lkn pia Salah huenda anaamini Eliud na Pius walishirikiana kufanya huu mchezo ndio maana kazitaifisha na kakaa kimya
Huwezi kufa ALLAH atakulinda InshAllahNa apitie na kuonyesha uamiri jeshi wake.
Sio kuunda Tume ya Haki jinai ili kuhalalisha wahujumu uchumi waliotaifishiwa mali zao walizokwiba serikalini warejeshewe. Wahujumu uchumi walichukuliwa hatua toka enzi za Mwalimu Nyerere.
Anyway hata wakituma majini sasa nitakufa kwa amani maana kamwe sitaishi milele.
Ukweli una gharama sana.
Hii ndiyo nchi ya Tanzania ilivyo. Wanaolipa kodi ni watu masikini.Kama mtu anaweza kufanya unyama huu wa Kutesa watu ofisini kwake,wizi na kudhulumu watu,uhujumu uchumi na Uchafu wote huu,Hivi tuna usalama wa taifa wanaojielewa kweli?Tuna polisi kweli?
IGP anapaswa kubaki kwenye nafaasi take kweli?
Mheahimiwa Raisi, kwakuwa juzi umesema huwa unapitia hapa Jamii Forums,chukua hatua juu ya hili.
Hili ni tukio moja tu,Je amefanya mangapi ambayo hatujui?
Ukipitia ule Uzi wa kwanza utaona jinsi watu walivyofunguka juu ya Uhuni wa huyu mtu,mpaka analawiti watu?
Tunaaubiri tuone hatua gani utachukua.
Mleta Mada Mungu akulinde.
Hahahahah nimecheka sanaUkiwa duniani, pesa ndio kila kitu; ukiwa mbinguni, pambio ndio kila kitu
Niliyotamani kujiunga 2012Sasa hii ndio jamiiforums tuliyoimiss
ukiondoa uwezo wao wa kibiashara, kitu pekee ambacho wakinga wanaweza kufanya ni kuwauwa kichawi watoto wao na mama zao na kuwageuza mandondocha ya kulinda biashara zao.Mi nlishasema wakiamua Wakinga wote huyo bwege mbona wanamalizana nae tu.
TwafaaSaalah anasema IGP Wambura ni mshikaji wake wa Pete na kidole.