Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Mkiwa mnanufaika walaaa hamsemi ila mkishachenjiana ndo mnaanza kuanikana! πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 

hawa waswahili wangese sana ndio maana yanakufaga masikini yaani ww unaleta masihara na biashara za wanaume unapelekewa moto unakuja kulialia huku jf wakati mmemuibia salah hela zake mnakula bia na kununua marange mlikuja huku kuomba ushauri??? mafaken kabisa wangese wa namna hii ni kupiga tu risasi kutia maiti kwenye viroba kutupwa baharini, achen mazoea na pesa za wanaume, umekula hela za wenzako mda wa kulipa umefika unalialia nini? wazee wakazi wakija wanakuja kudai aggresive pumbavu kabisa yaani umekopa kimtaa utalipa kimtaa umeiba hela kimtaa utazilipa kimtaa bloodfaken kabisa
 
Hao Silent ni Mafia na hizo kashfa ulizoandika zinajulikana. Ila kwa upande mwingine Eliud kazingua sana tu. USD 235000 ni kama Tsh 540,000,000/=. Ina maana kiukweli aliaminiwa sana na Salaah na nia ya Salaah ilikuwa njema. Na kuna sehemu umeandika Eliud pia anakiri kukosea na kutokuwa makini na biashara yake. Pia ukasema hata Salaah alishauri Eliud amwajiri mhasibu msomi ila hakufanya hivyo. Kwa mtaji huo wa 540m kuwa na mhasibu ilikuwa haikwepeki. Kwa kiasi hicho cha pesa ukibugi unafilisiwa kila kitu na ndo kilichotokea.

Pius nae nadhani kuteswa ilikuwa haiko mbali kwasababu kama alishapiga hadi hesabu na kuona anadaiwa 22.5m tu inaonyesha alishajipanga na hilo suala. Mimi nashauri vijana kuwa waaminifu na kumwomba sana Mungu atupe busara za kufanya maamuzi sahihi katika muda sahihi kwasababu wengi wetu tukipata pesa nyingi tunaingiwa na wenge.
 

ndo dawa yao wangese kama hao kamata binya pumbu mpaka atasema hela zilipo nenda beba hela zako na za usumbufu alafu achana nao waswahili hawaaminiki kabisa hakuna kusikiliza story ya mtu wewe deal nao kibabe tu watakuheshimu huruma huruma wanakufilisi
 
Huwezi kufa ALLAH atakulinda InshAllah
 
Hii ndiyo nchi ya Tanzania ilivyo. Wanaolipa kodi ni watu masikini.
 
Hadithi yako ni nzuri ila Ina walakini...

Huyu Eliud ni mfanya biashara kweli ? mbona ni mzembe sana watu wameiba mpaka wakajenga na kuagiza magari yeye yupo tu?

Ilikuaje Eliud akakubali kulipwa mil. 22 huku dukani kukiwa na upotevu wa mamilioni na akakubali kupokea?
Bado alikua na uwezo wa kumbana Pius kuwa duka lilikua chini yake na upotevu ulotokea lazima uwe juu yake yaani mtu anakubali eti aliiba mil.22 tu na huku dukani kuna loss ya mamilioni ya hela ? ( Yaani mtu amekiri kosa la wizi lakini kajichagulia kiasi alichoibaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)

Inakuaje Eliud anakabidhi mali kwa boss wa silent ocean wakati yeye anadaiwa pesa ? Kwanini asingefanya mchakato wa kuuza mali zake na akalipe hilo deni kuliko hiki alichokifanya?
 
Mi nlishasema wakiamua Wakinga wote huyo bwege mbona wanamalizana nae tu.
ukiondoa uwezo wao wa kibiashara, kitu pekee ambacho wakinga wanaweza kufanya ni kuwauwa kichawi watoto wao na mama zao na kuwageuza mandondocha ya kulinda biashara zao.

kukabiliana na watu kama akina salaah ni zaidi ya kutumia nguvu za kishirikina maana hata wao ni washirikina pia.

instead you need to be well connected and street smart. uwe na mentality ya watoto wa mjini. lakini pia lazima uwe na fedha ya kutosha itakayosaidia ku facilitate mipango yako ya vita.

kumbuka wao wanavimba mjini na kuwaonea watu wengine kwa kuteka,kutesa na kuua kwasababu baadhi ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wapo kwenye payroll zao.

kingine ndg zetu wakinga unaowaona kariakoo wakimiliki maduka, wameingia mjini wakiwa ni watu wazima. bado wanavijitabia fulani vya ushamba walivyotokanavyo huko kwao njombe na makete na ndio maana wanadhurumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…