Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Principle za Kishetani hizo ulisomea wapi?
 
Kwa maelezo ya mtoa mada Salah Hana tatizo hata kidogo , naijua biashara , bila kuwa katili kwenye usimamizi wa pesa hutoboi , imagine dogo aliyeiba wasingemsulubu hakuna kingepatikana , kuhusu kutakatisha pesa ni ujanja wa Salah na ujinga wa serikali full stop
 
Mbona uliyoandika ya kawaida sana me najua makubwa na mazito ya hawa jamaa
Kiupana elewa gsm na ndg zake ni mafia basi wanaweza kukuua muda wowote wanaotaka na wanaweza kukunyang'anya mali zako muda wowote na ndgo shughuli zao
 
Mbona uliyoandika ya kawaida sana me najua makubwa na mazito ya hawa jamaa
Kiupana elewa gsm na ndg zake ni mafia basi wanaweza kukuua muda wowote wanaotaka na wanaweza kukunyang'anya mali zako muda wowote na ndgo shughuli zao
Basi nawe saidia kuanika unayoyajua ili tusaidie jamii yetu. Ukinyamaza nayo sio vizuri. Hata mimi nimeandika machache kwenye huu muktadha maana ningeandika mengi sana ingekosa focus
 
Labda waliokutukana ndio Machawa wake,hata humu wapo wanatukana ila tutawabana mbavu tu
 
USHAURI WANGU,kwa kuwa umesema wewe ni Askari na upo Kanda Maalum,hakuna haja ya kulialia humu JF wakati dawa ya moto ni moto,saini SMG hapo Armoury na Risasi zake 30,nenda pale Silent Ocean ofisini kwa huyo Salaah maliza kazi ugomvi uishe,au kama SMG itaonekana basi Saini tu hata Chinese Pistol kamalize kazi ugomvi kwishaaa,dawa ya moto ni moto
 
Watu wachache sana wameliona hilo swala kwa namna ulivyoliona, na hio ndo maana ya Great Thinker.

Yaan upoteze mamilion kipuuzi tu na wakati ushaambiwa utafute mwasibu ila unazubaa zubaa. Hii story hata bila kusikia upande wa Salaah mie naona salaah alikua na justification ya actions alizochukua mambo ya sheria yatakuja baadae. Wanaomtetea huyu eliud na pius hawajua uchungu wa kutafuta hela kwa kujiajiri, wengi ni waajiriwa tu wanasubiri kulipwa mwisho wa mwezi, ila mjasiriamali anaepambana na ku-take risks za hatari ukiachia hadi kutoa kafara basi atamuelewa salaah vzr tu.
 
Mbona umepaniki sana?Au upo kwenye Magodown ya GSM? hebu tuambie makosa mengine yaliyoainishwa humu ukiacha hilo la kuibiwa huyo unayemuita mwanaume.
 
Ia watanzania sisi wapole sana...tungeamua kukiwasha tungekiwasha wakimbie nchi..shida kuna ma watu hayataki kufanya kazi zaidi ya uchawa kulisha familia zao yatawatetea...Omy dimpoz atakua wa kwanza kuwatetea na kina baba levo..sasa na hivyo wana wafuasi wao huko instagram wwnye akili kama zao kuwa kuwakonvise itakua ngumu..
 
nokwenumuya aka mungunimwema unaanzaje kuogopa majini kitu ambacho ni cha kufikirika? Halafu kwa jinsi ulivyojinasibu huogopi mbona unaingia uoga wakati unatumia anonymous id? Tukirudi kwenye point yako, naweza kusema tatizo la nchi hii na Afrika kwa ujumla ni njia kuu za uchumi na biashara zote kubwa kumilikiwa na watu ambao sio waafrika asili. Mfano angalia top ten ya matajiri wa Tz au Afrika utakuta kuna mweusi mmoja au wawili basi! Waliobaki ni ngozi nyeupe tupu! Huwezi kusema unajitawala km haumiliki uchumi wako. Na pia km haumiliki uchumi huwezi kuwa na sauti hata hapo mtaani au nyumbani kwako huwezi kuwa na nguvu km huna pesa! Waafrika tujitafakari tunakosea wapi? Km vp tuombe wazungu waje watuongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…