Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

UAMINIFU IS THE KEY!

WABONGO WENGI WANAPOAMINIWA HAWAAMINIKI, JAMAA KAAMINIWA KALETA MZAHA KWENYE HELA ZA WATU.

SASA MNATAKA HURUMA YA NANI HAPO?? UPOTEZE HELA ZANGU MINGI ALAFU NIKUACHE ETI HURUMA???

MJIFUNZE KUWA WAAMINIFU KWANZA SIKU MINGINE.

USICHEZEE HELA YA TYCOON UTAISHAAAAAA!

UAMINIFU UAMINIFU UAMINIFU!!!
 
Shetqni aliwahi kuwa Malaika Mkuu.

Watu dhalimu mbishe zao ni

1. Wakuue

2. Wakulawiti

3. Wakudhulumu mali zako

Watu wa dizaini sio wakufanya nao negotiations.
 
Tanzania ni nchi fulani hivi ya giza giza sana.. hii nchi inapendwa na wafanyabiashara wanaopenda kukwepa kodi
 
Watanzania tunahitaji kuamka sana,hili neno unyonge linatuharibu,Yaani tunajikuta tunanyanyaswa kwenye ardhi yetu na hatuna cha kufanya,haya mambo kwenye nchi wanazojitambua hakuna
Yaani wajikuorganize siku tajiri mgenj kamuonea mzawa anatafutwa anapewa kibano heavy hadi awe adabu.

Tunanyanyasikaje kwenye nchi yetu wenyewe
 
Tumia lugha njema, wanaopitia huu uzi ni wengi. Wewe kazi yako umemaliza

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kijana PIUS ni mwizi na ndio alieharibu kila kitu, Lakini bado wachangiaji wanamuona alikua sawa tu na wanashutumuu wengine.

Asilimia kubwa ya Matajiri huwa ni mamafia, Unapopoteza hela yake ujue kuwa hayatakuwa madogo, hiyo kanuni inaeleweka kabisa.
 
Mi naona hawa mbwa wana mizizi inayo run deep hadi ikulu, hata Rais hana la kuwafanya hawa wahuni, na akikaza shingo ataondoka yeye, hapa ndipo tunamkumbuka mwamba, Jiwe, JPM
Mkuu shutma za familia ya GSM zipo tangu utawala wa kikwete na hawakuwahi kufanywa chochote

Kama hutojali unaweza kutujuza katika miaka 6 aliyodumu madarakani Mwamba Jiwe, JPM aliwafanya nini hawa GSM?
 
Hata mimi ninavyowachukulia hawa ndugu na ule upole unahisi sinema vile.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hapa TRA hawachomoki na bandari wanajua michezo yote na wako kwenye payroll yao

Sasa hapo Kosa la Saalah ni lipi?

Saalah no mfanyabiashara,
Kazi yake inamtaka kutafuta faida kubwa,
Kaone Gap upande wa TRA au Bandari analoweza kulitumia Kupata faida Kwa nini asilitumie?

Tuliowaamini tukawapa kazi wasimamie Rasilimali zetu ndio wanashida
 
Eliud ni mzembe na anawakilisha vijana wengi wa Kibongo wanapopewa uaminifu. Lakini hili limesaidia tu mambo mengine ambayo hayapaswi kutokea mfano Black Market, mamlaka kuogopa baadhi ya watu! Kutumia maafisa wa dola kwa mambo binafsi! n.k

Vyombo vya dola visimamie askari wa majeshi yetu wasitumike kwenye kazi binafsi iliyo nje kisheria. Tutaunda chain za kiusalama za ajabu.

Lazima tuwe na nchi ambayo kila mtu anaweza kuchukuliwa hatua hata kama ni Rais. Sasa kama kuna matajiri hawaogopi Polisi, mahakama wala yeyote ni hatari!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ina raisi kivuli anaye handle state matters ila international matters kuna mwalimu yuko kwa ajili ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…