Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Wahenga walisema "Ukimaliza kusema ukweli kimbia"
eating-popcorn-watching.gif
 
kama tu waliuziwa kiwanja kile na Chama hiki kikubwa hivi basi wana kiburi cha kuona hakuna wa kuwafanya chochote.Nimesikitika sana kwa matamko mkuu wa kituo cha Msimbazi alichowaambia na kusema kapigiwa simu kutoka juu na YEYE ANA FAMILIA ANA CHUNGA KIBARUA CHAKE.Vijana tuwe waaminifu,kula sawa ila unakula mpaka unamtia hasara boss wako hivyo?Kuna Mchungaji alisema vijana wa Ki.........hawaaminiki ila akapewa suspension siku 60 mifano ni kama huyu aliyeagiza Vogue.Salah alipaswa kuzungumza ili kuwekeana mikakati na huyu mdau wake ili kulipa hiyo hasara.Naamini angelipa tu kwa jinsi alivyokuwa na mtandao mkubwa na jinsi alivyomuingizia salah faida kwa wateja.Biashara inapokuwa kubwa tukubali kuajiri watu wenye weledi katika sekta husika.Dangote kaajiri Wahindi,Mchaga mmoja ana hardware kubwa Dodoma muhasibu muhindi.Hawa ni watu wa fedha na ulishauriwa.Kuhusu haya ya UCHUMI kuchezewa tuziachie mamlaka.Mama yupo jf atasoma tu.
 
Daah watu mna vipaji vya kuandika aseeh. Nimesoma vizuri sana japo kwa maelezo yako mwishoni umesema hujaandika kila kitu.

Hizi kampuni zinazofanya kazi za kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi ipo haja kubwa zifanyiwe uchunguzi mkubwa namna zinavyo ingiza pesa zake.
 
Mimi ni mmojawapo napata UCHUNGU na wale viongoz wasio wazalendo na wanaokumbatia mharifu kisa tu anapesa.Nimewaishi RWANDA kipindi kazaa, ukiendesha gari kwa bahati mbaya ukamgonga MNYARWANDA au mzawa wakati we ni mgeni bila kujari Nani MZEMBE. Wale jamaa cha kwanza wataanza na wewe kukuhadhibu kisa tu umemdhuru home boy. Culture ile ilionyesha uzalendo. Hapa TZ police, Hakim,mwanasiasa wanamuogopa Mgeni na kujidharau mamlaka zao., Si ajabu wanakuwa wakali Zaid kumuhadhibu mzawa kuliko hawa wachumia TUMBO.
Nashauri ELIUD atafatute Mwanasheria na kama bado Hana Imani na mawakir wa TZ basi amtafute Kenya aweze kusimamia project hii.
Ndugu zangu WATZ mambo haya sio yakupuuzia kama kweli haki HAITENDEKI.kuna siku wakinga WOTE wa kariakoo watambadirikia SILENT OCEAN anaweza potea uso WA DUNIA na siraha zake zote. Kule S.AFRICA vijana wazawa walianza kuwafukuza wahamiaji na kuwadhuru kisa wanachukua AJIRA ZAO. hapa BONGO hasa WASOMI tuna nafasi yakupambana na WOGA huo. Pata uchungu kama WANYARWANDA,S.A, WARUNDI,SOMALIA CONGO. Hamna siraha imara kama UMOJA.
FB_IMG_1678290601700.jpg
 
Hawa simba wa bahari ni mamafia bongo hapa. Mafia haswa, and this is how Mafia’s work, silent, humble, unique ways ila ni hatari. Boss mzuri, mpole salaah. Ila ni simba haswa.
Actually turudi kwenye mada sijui, ila kwa maelezo hayo kumdaka salaah kwa kosa labda ifanyike search ya bishara zao of which naamini wamejiandaa. Hawa jamaa wanafanya biashara wechat na mabenki wanayo. Hela hawashiki.
La mwisho, miaka ya nyuma hawa jamaa waliwahi kumtoa marinda jamaa wa ethiopia😂😂😂 si watu wazuri.
Ukitaka kuwaweza wadake watese pia.
 
Back
Top Bottom