Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Aione mama samia najua sahizi anapitia JF taratiibu.
Mi nasema ni mtihani wake. Hebu mama fanya kitu. Hawa ndio matajiri jpm alisema anaweza wafanya lolote. Kama transfer ya fedha za kigeni wanahujumu kwa mifumo yao binafsi uchumi wa nchi utakua unahujumiwa. Kutakua na ukwepaji mkubwa wa kodi na nchi kukosa fedha ya kigeni.
 
Aliye kwenda polisi ni yule aliyebinywa. Police ikabidi wawaite wore. Yaani Eliud kama mtuhumiwa no 1, Salaah mtuhumiwa na 2
 
Tukipatikana kama sisi 10 tunatengeneza jeshi letu
 
Ndio maana tunasemaga duniani hamna cha haki zaidi ya kifo tu. Mtu anavimba kuwa atakunyoosha na akiamua anakunyoosha na huna pa kwenda kupumulia maana huko polisi kwenyewe kashikilia kituo kizima.
 
TISS hawana msaada kwa hii nchi, ndio maana Bei ya chakula imepanda hovyo
 
Hao ndio waswahili bwana. Huwa hawana shukurani hata kidogo ndio maana huwa wanalimwa kisago tu.
 
Mi naona hawa mbwa wana mizizi inayo run deep hadi ikulu, hata Rais hana la kuwafanya hawa wahuni, na akikaza shingo ataondoka yeye, hapa ndipo tunamkumbuka mwamba, Jiwe, JPM
Hawana ubavu wa kumtoa raisi. Labda wapate ushirikiano na assasins! Raisi akiamua anawatimua dakika 0 tu sababu yeye ndio final say. Shida ni yule mstaafu nae ana maslahi na hao wahuni ndio ugumu unapoanzia.
 
Hahahahah unajidai unafanya kazi benki wenzako Wana benki zao getoni kwao
 
mtu anakupa maisha unamuibia tena pesa nyingi,mtu mwingine anapoteza wao na bamdogo wao wa bima.
Hyo dogo Eliud hayupo serious kabisa yw ndio alitakiwa ampelekee moto kijana wake na we makini na mali...

Alichofanya Salah sawa tu ukitaka kuwa tajiri narudia tajiri lazma uwe na roho mbaya watu wajue hauingiliki ukicheka cheka unafilisika.....
 
Ndio maana mnafeli mitihani


Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.


Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills
Ndugu ndio maana kuna watu wanakuwa wa mwisho darasani. Kakurupuka bila kusoma.
Hata angemuacha aendelee kufanya biashara huku analipa dogo alikuwa tayari.

Sema ndio hivyo alitumia ubabe. Kwani wangapi wanapata hasara?

Na ndio maana alienda kujisalimisha ili waweze weka utaratibu mzuri?
 
dogo kaona hela nyingi kwenye droo kahisi zote zake akaona aagize Vougue ya kulia bata,tamaa.
Hahahahahah sasa Insta kila mtu si anavimba! Ila bwana uaminifu ni kitu kikubwa sana katika maisha. Ubaya Tanzania kila kukicha tunazidi kuipoteza hio quality. Hela ambayo sio yako kwanini uifuje?

Yeye utakuta ndio wale vinara wa kulipia bill za million million Kidimbwi, Juliana, Elements na Samaki Samaki. Bila yeye squad yake haitambi weekend.

Tamaa ya maisha makubwa na ustaa vinapoteza vijana wengi sana mjini.
 
Mi binafsi nashukuru nilienda JKT nikapata kauzoefu kidogo kwa kufyatua risasi kwenye smh 56 risasi tatu.[emoji28]
 
Cha kufanya mngeenda kwa mzee Yusuf Makamba nadhani atawasaidia ikiwa atakubali

Mzee Yusuf Makamba ni miongoni katika waTanzania wachache wenye nguvu sana ndani ya CCM na nchi hii kiujumla na kama unabisha ungeweza kumuuliza Hayati JPM angekuambia
Wakimbilie kwa Jakaya tu, mbona kesi inatulizwa freshi ila wakimvimbia ni ngumu kutoboa. Jamaa anaweza akawala vichwa kabisa na ikabaki story tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…