Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Afu unachotakiwa elewa hizo dollar huwa hazivuki mipaka.
Tsh zinatumika kununulia mazao, wao wanapewa dollar huko Dubai, China
Mwaka 2017 zilikamatwa dola 750,000 ambazo zilikuwa zinatoroshwa kwenda China. Pesa hizo zilikuwa za Silent ocean na unajuq utawala wa JPM ulikuwa hauna mbambamba, zote zilitaifishhwa.
 
Ni kweli ni dhurma. Wangekaa wapige hesabu. Kama zimeisha au hazitoshi wangejua kuwa bado ana deni. Na hapa ndipo penye hoja.
 
tena sio watu wa pembeni unakuta hata ndugu wanakuhujumu unaona.. so kwenye hii kesi salah acha apambane na hawa vijana walijifanya wajanja huyu eliud anataka ionekane PIU ndo mwenye kesi ila ukiangalia vizuri yeye ndo wakulibeba hili direct.
Ndio maana Eliud alikubali kuwajibika kwa uzembe wake. Sasa shida boss hataki wapigiane hesabu apate kilicho chake.
 
Hii serikali siyo mafia hii nchi haiongozwi na magenge ndugu
Pamoja na hayo umefanyika uhuni wa kutaifishiana mali na jamaa wamekubali kulipa kwa hasara waliosababisha ndiyo maana amekabidhi mali zake
Lakini silent analeta uhuni usio na mpango ndiyo maana hii habari imefika hapa
 
hivi kumbe kuna watu wanapata mikopo mpaka ya milioni 500 kirahisi rahisi tu? Dah Jamani tunaomba connection na sisi.
 
Maoni yangu katika hii ni kwamba Salaah hayuko upande mbaya saana nacho kiona ni uswahili wetu wabongo kwenye suala la uamunifu pengine ingekuwa nchi zingine hao wote eliud na pius wangekula chuma [emoji379] maana wanacheza na hela za watu
 
Mkuu wewe ni Mtanzania mweusi (native Tanzanian) na hujachangia damu?!
 
Kwa kweli waTZ tujitathmini sana. Tunazidi kuharibu image ya neno UAMINIFU. Yaani ni wizi wizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…