Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

You won't get anywhere with your bullshit bro, for the simple reason your stupid story does not meet any physical, logical, legal, ethical, moral or even common sense standards . Hizi tuhuma zako mahakamani zitaitwa "hearsay", na huyo aliyekuambia haya mambo naye pia alikuwa complicit au mshirika na Mwarabu wa hizi tuhuma za jinai hadi pale alipogeukwa. Itabaki kuwa maneno tu. One hard core criminal got out smarted by another "hardest core" criminal. Wazungu wanasema "Hate the game, but not the player". Good luck.
 
Kwa mtazamonwangu Eliud Pius wspo pamoja na wanfahamu dhambi zao, na Pius hapo ni chambi tu, mastet mind bi Eliud.

Nahisi mleta mada ndio Eliud. Pius ni kanyaboya tu.
 
Wewe kama Askari Polisi Kanda Maalum, ungemkamata huyo Eliud Gaspar KWANZA kwa kosa la kuwa mshiriki kwenye unayodai kuwa ni biashara haramu ya ukwepaji kodi, usafirishaji haramu wa fedha za kigeni, etc, halafu mengine yangefuata
 
JPM mtu na nusu Mimi kesi yangu dhidi ya Hawa madhalimu iliendeshwa Kwa ufanisi mahakamani baada ya kufariki miezi minne mingi hali ilikuwa mbaya balaa maana wakamweka judge wao latifa mansour wakamnyang'anya file judge.leyla mgonya mpenda haki
Pole saba brother.

Nimesoma kule mambo mabaya waliyokufanyia kwa kweli hawa watu ni ndugu zake shetani kabisa.

Hivi unafurahia vipi kuonekana ni tajiri huku kila siku unadhulumu watu mali zao?
 
Huyo Eliud he's just as filthy & guilty. Mali yake anayodai naye kaipata kwa njia haramu. Halafu anakuja "Askari Polisi" kumtetea? Mzunguko wa hela ni huo huo. Kama alipewa mtaji wa dola 253,000 na Salaah akakubali, basi na yeye alikuwa kwenye biashara "haramu".
 
Ulitakiwa kuandika haya kabla ya kusalenda. Hiyo pesa ingetosha sana kumaliza mchezo. Unazama pale sumbawanga
 
Kwahiyo Eliud aliambiwa awe na mhasibu wake akakataa!🤔

Wacha ale matunda ya kazi ya Ujinga wake.
 
Wewe utakuwa a tad better than division zero Form 4. Labda division 4, sana sana division 3. Totally brainless and useless.
 
Ukiua kwa kulipiza na wewe ukamalizia maisha yako jela, hicho kisasi kimekufaidisha nini?
 
Dah..sasa mjinga mmoja anawafanyia uhuni huo si muungane wakinga na wachaga wote achanane nae huyo mtu katili..

Ila hivi viburi ni sababu ya viongozi wetu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…