Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kbsa mm Niko na salah kwa mujibu wa mleta taarifa cjaona kosa lolote kwa salah Tena kawa muungwana kbsa alipaswa arudishe Kila kitu Hadi misitu ya kwao uko ataifishe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
dogo ajui kula na kipofu,kawa karibu na mtu mwenye pesa tena kamkubali akampa maisha bahati mbaya ukajikwaa,angekaa nae chini wayajenge yaishe,badala yake anamvimbia.unamvimbiaje mtu ushamtia hasara man.

wapo matajiri wapole wana utu,ukipata bahati ya kukutana nae mnayajenga anakupa maisha,ila,,ila usichezee mali,pesa au biashara zake atakuuwa malambili mzee.utakuuwa Duniani na mbinguni man.akuna malaika wala nabii atakae kusaidia mtu wangu.
 
Form 6 kamaliza mwaka gani

Kipindi tunasoma wote tulikuwa o level.

Sizani kama kasoma A level.

Waarabu na wahindi huwa hawafati mfumo wa A level. Maana wana biashara zao za familia.

Mtu akimaliza o level tu anapelekwa chuo then anaingia kwenye biashara zao za familia.

Imagine kwenu mna biashara za mtaji mabilioni. Why upoteze muda mwingi shuleni A level ?
 
Kipindi tunasoma wote tulikuwa o level.

Sizani kama kasoma A level.

Waarabu na wahindi huwa hawafati mfumo wa A level. Maana wana biashara zao za familia.

Mtu akimaliza o level tu anapelekwa chuo then anaingia kwenye biashara zao za familia
Ok hivyo o level alimaliza 2006 sio
 
Kwakwel hawa matajiri hasa wenye asili ya kiarabu huwa ni watesi sana wa wabongo, na watu wetu wa serikali wanawashonokea sana kisa wanapewa rushwa..

Magu tu ndo alowamidu hawa, tutazidi kunyanyasika sababu ya ulimbukeni na njaa za viongoz wetu
 
Wewe umechangia bila hisia... You're intellectually fit.
Somo hapo kwa sisi wengine makubaliano ya ‘mali kauli’ ukipoteza mzigo/asset uliyoaminiwa nayo elewa utailipa tu. Na hilo wala sio jambo la siri.

Kwenda kulialia polisi ni utoto tu ndio maana kuna watu biashara zingine au makubaliano mengine huwa wanayakwepa kwa sababu ya consequences zake. Maana hiyo mali uliyokubali ipokea uporwe na risasi au polisi wataifishe elewa utailipa tu that is the canon law.

Eliud alijua jamaa fala atamchezea michezo ya utoto kisa alikuwa mcheshi kwake (ndio ubwege wa watanzania wengi kupenda ku underestimate watu wasio wajua vizuri).

Mjomba watu kama hao poteza mali yao wakubadilikie kama ni biashara haramu utaelewa kumbe nyuma ya mafanikio yao kuna ukatili mkubwa sana.

Ili liwe somo kwetu wengine hakuna kitu rahisi, usifanye mzaha kwenye mali za watu na usijiingize kwenye makubaliano ambayo hujui rules of engagements.

Eliud alimchukulia Salah poa hilo ndio tatizo na liwe somo kwa wengine; achana na maelewano yoyote ya mali kauli kama hujui athari zake mzigo ukipote
 
Back
Top Bottom