Somo hapo kwa sisi wengine makubaliano ya ‘mali kauli’ ukipoteza mzigo/asset uliyoaminiwa nayo elewa utailipa tu. Na hilo wala sio jambo la siri.
Kwenda kulialia polisi ni utoto tu ndio maana kuna watu biashara zingine au makubaliano mengine huwa wanayakwepa kwa sababu ya consequences zake. Maana hiyo mali uliyokubali ipokea uporwe na risasi au polisi wataifishe elewa utailipa tu that is the canon law.
Eliud alijua jamaa fala atamchezea michezo ya utoto kisa alikuwa mcheshi kwake (ndio ubwege wa watanzania wengi kupenda ku underestimate watu wasio wajua vizuri).
Mjomba watu kama hao poteza mali yao wakubadilikie kama ni biashara haramu utaelewa kumbe nyuma ya mafanikio yao kuna ukatili mkubwa sana.
Ili liwe somo kwetu wengine hakuna kitu rahisi, usifanye mzaha kwenye mali za watu na usijiingize kwenye makubaliano ambayo hujui rules of engagements.
Eliud alimchukulia Salah poa hilo ndio tatizo na liwe somo kwa wengine; achana na maelewano yoyote ya mali kauli kama hujui athari zake mzigo ukipote