Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Unakuja na mambo ya kutupiwa majini, na ili ukwepe hayo, eti umekula kilo 2 za kitimoto na mzinga wa K-Vant? Haupo serious wewe. Unacheza na akili za WAJINGA WENZAKO!!!
 
Somo hapo kwa sisi wengine makubaliano ya β€˜mali kauli’ ukipoteza mzigo/asset uliyoaminiwa nayo elewa utailipa tu. Na hilo wala sio jambo la siri.

Kwenda kulialia polisi ni utoto tu ndio maana kuna watu biashara zingine au makubaliano mengine huwa wanayakwepa kwa sababu ya consequences zake. Maana hiyo mali uliyokubali ipokea uporwe na risasi au polisi wataifishe elewa utailipa tu that is the canon law.

Eliud alijua jamaa fala atamchezea michezo ya utoto kisa alikuwa mcheshi kwake (ndio ubwege wa watanzania wengi kupenda ku underestimate watu wasio wajua vizuri).

Mjomba watu kama hao poteza mali yao wakubadilikie kama ni biashara haramu utaelewa kumbe nyuma ya mafanikio yao kuna ukatili mkubwa sana.

Ili liwe somo kwetu wengine hakuna kitu rahisi, usifanye mzaha kwenye mali za watu na usijiingize kwenye makubaliano ambayo hujui rules of engagements.

Eliud alimchukulia Salah poa hilo ndio tatizo na liwe somo kwa wengine; achana na maelewano yoyote ya mali kauli kama hujui athari zake mzigo ukipotea.
 
JPM mtu na nusu Mimi kesi yangu dhidi ya Hawa madhalimu iliendeshwa Kwa ufanisi mahakamani baada ya kufariki miezi minne mingi hali ilikuwa mbaya balaa maana wakamweka judge wao latifa mansour wakamnyang'anya file judge.leyla mgonya mpenda haki
Yule mzee alikuwa na Ultimatum! Hakuna fala yeyote ambaye alithubutu kutingisha makalio kwenye anga zake kisha akabaki salama πŸ˜€
 
Kbsa mm Niko na salah kwa mujibu wa mleta taarifa cjaona kosa lolote kwa salah Tena kawa muungwana kbsa alipaswa arudishe Kila kitu Hadi misitu ya kwao uko ataifishe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Weka ushahidi angalau kiduchu mwanangu tuone unayosema ni kweli hata kwa 1%. Maana mamia ya watu wamemwaga povu bila ya ushahidi wowote kutoka kwako zaidi ya maneno matupu, na isitoshe bila hata ya kuusilikiza upande wa pili. So far, it has been a long and winded one-side story mkuu. Always two sides to a story, remember that. Hata RB za Polisi za Msimbazi huna?
 
Salaah (simjui na wala simtetei) sawa anaweza kuwa ni Form 4 failure. Hiyo ina uhusiano gani na hii ishu ya watu wawili kukosana kibiashara? Huyo Eliud Gaspari ana degree ya PhD? Kama anayo au hana, imemsaidia nini kwenye masuala yake ya kibiashara na kimaisha kiujumla?
 
Siwezi kumhukumu maana ningekuwa kwenye nafasi yake ningefanya ufuska zaidi πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ€£πŸ€£
 
[emoji23][emoji23] we mwambie tu uzi bila picha haunogii
 
Kbsa mm Niko na salah kwa mujibu wa mleta taarifa cjaona kosa lolote kwa salah Tena kawa muungwana kbsa alipaswa arudishe Kila kitu Hadi misitu ya kwao uko ataifishe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo utakatishaji pesa na ukwepaji wa kodi kwako unaona sawa? Au unaishi Burundi.
 
Mkuuu ulisoma nae kwani au πŸ€”
 
Inawezekana nae JPM alishirukiana na Boss Salah kuficha zile pesa za pre bargain CHINA
Sema plea bargain ni sexy bargain kweli 1.5 Trillion tshs daah inalisha vizazi 50 na pesa inabaki 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…