Hawa simba wa bahari ni mamafia bongo hapa. Mafia haswa, and this is how Mafia’s work, silent, humble, unique ways ila ni hatari. Boss mzuri, mpole salaah. Ila ni simba haswa.
Actually turudi kwenye mada sijui, ila kwa maelezo hayo kumdaka salaah kwa kosa labda ifanyike search ya bishara zao of which naamini wamejiandaa. Hawa jamaa wanafanya biashara wechat na mabenki wanayo. Hela hawashiki.
La mwisho, miaka ya nyuma hawa jamaa waliwahi kumtoa marinda jamaa wa ethiopia😂😂😂 si watu wazuri.
Ukitaka kuwaweza wadake watese pia.