Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi



GSM Hawana uhusiano na JK . Ni kawaida Yao kujipendekeza kwa Kua karibu na viongozi waliopo madarakani iwe TRA au serikalini ukitoka madarakani hawana muda na wewe same applies na Jk walimdharau sana kipindi ametoka madarakani Simu ya JK walikua hawapokei wanasema analia shida Kila siku

Wamejiludisha hivi karibuni kwa MZee wa Msoga baada ya kuona mzee ana nguvu kwenye serikali hii .

Walimtumia sana Mama yangu TRA kwenye Kazi zao alivyostaafu na Simu Waliacha kupokea kwa kifupi GsM ni akili kubwa
 
Ndio maana huwa mnafeli
 
Walimtumia mama yako halafu unasema ni akili kubwa ?


Ukapimwe akili wewe
 
Umeng'ang'ania ishu ya utakatishaji pesa kama vile Salaa ndio wa kwanza kufanya hivyo. Mbona traffic police wanachukua buku mbili na watu wanaona na mamlaka inafahamu hata Magufuli alilizungumzia na akawapa go ahead waendelee tu kupokea za kubrashia viatu je hivyo ni sahihi? Hata ungekuwa kwenye hiyo nafasi ungefanya hivyohivyo tu
 
Ndo biblia ikasema; Ni ngumu kwa tajiri kuuona ufalme wa Mbingu, kama Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Kuna wananchi huku chini wanafunguliwa kesi za uhujumu uchumi, na haki haitendeki. Zama za 'Unanijua mimi ni nani' zimerudi kwa kishindo, wapiga dili wameiweka Serikali mfukoni mwao.
 
It's so sad, tukitoka kwenda nchi za watu huko tunaonewa, tukiamua kubaki nyumbani tujishughulishe bado tunaonewa. Mbaya zaidi viongozi tunaowaamini nao wanashirikiana na hao hao watesi wetu kutukandamiza...

Aisee sisemi kwa kuwaonea ila Kuna kizazi Cha kitanzania Cha kuanzia 79 kurudi nyuma wengi bado Wana mawazo mgando wamekalia ubinafsi, kutojali wengine, na uwizi uwizi wa kizamani. Hawa kwa kiasi kikubwa wanachangia kuturudisha nyuma na wamejaa kwenye Kila sekta.

Mara mia hata Hawa wa kizazi Cha dijitali Japo wapenda Bata kwa sana ila atlisti wengi wao wamepata elimu na Wana uzalendo.
 
So kwako unaona kawaida kwa hiyo tuendelee na utamaduni huu huu.Kweli walisema akili ni nywele ila haakuidentify za eneo lipi,two wrongs don't make a right.
 
So kwako unaona kawaida kwa hiyo tuendelee na utamaduni huu huu.Kweli walisema akili ni nywele ila haakuidentify za eneo lipi,two wrongs don't make a right.
Wewe hapo na wenzio wote mnaomshutumu Salaa nawashauri tafuteni pesa zenu halafu atokee dogo awafanye kama alivyofanyiwa Salaa ndio mtajua uchungu wake
 
Wewe hapo na wenzio wote mnaomshutumu Salaa nawashauri tafuteni pesa zenu halafu atokee dogo awafanye kama alivyofanyiwa Salaa ndio mtajua uchungu wake
Sasa umejuaje kama sina hela..........? Ila si shangai unaweza ukakuta naongea na chawa wake.
 
Nitaomba uwe una update kama kuna reaction yoyote ya huu uzi na ule 72 hrs warning!
 
Sasa umejuaje kama sina hela..........? Ila si shangai unaweza ukakuta naongea na chawa wake.
Mimi maisha yamenipiga huku sina hata mia.. uchawa hauwezi nisaidia kitu.. nikuulize ukifanyiwa kama alivyofanyiwa Salaa utachukua hatua gani?
 
Pius hana mali inayotambulika kidheria. Eliud hana documents za kumkabidhi mali Pius na hana record ya mali alizomkabidhi, zilizouzwa wala zilizobaki.
Eliud hakufuata ushauri wa Salaah wa kuweka mtaalamu wa mahesabu kati yao. Hii imepelekea Eliud kutojua kiasi halisi anachodaiwa.
 
Mimi maisha yamenipiga huku sina hata mia.. uchawa hauwezi nisaidia kitu.. nikuulize ukifanyiwa kama alivyofanyiwa Salaa utachukua hatua gani?
Nitaifata taratibu na sheria kudai haki yangu,kama kila mtu akidai ajichukulie sheria jinai au kutaifisha basi nchi haitokalika hii
 
Kwa kifupi nchi zenye kufata sheria na haki za binaadamu huyo alibanwa sehemu zake za Siri na kuteswa madai yake yangefuta madeni yote na utajiri juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…