Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Salaah ana kosa lipi? Kuchukuwa chake?


Hayo mengine yote ni mpaambio ya fitna tu, msingi hapo ni pesa.

Wewe unafikiri mleta mada ana uchungu sana na mengine yanayoihusu kuibiwa serikali? Uchungu wake hapo ni kutemeshwa mzigo tu, kama yeye ni huyo Eliud, au kukatiwa line yake ya kuvuta kutoka kwa Eliud, kama yeye ni huyo Pius. Hakuna zaidi. Hamuwezi Salaah atamuweza Yussuf Makamba?

Huyo mleta mada mimi nimemuona fala na muongo aliposema uongo kuhusu jengo la GSM, kutia chumvi eti "kiwanja cha CCM alichowauzia Yussuf Makamba", wakati watu walioiuza nyumba hiyo kwa GSM wapo humuhumu JF.

Mleta mada ni ama Eliud ama Pius. Namshauri aseme ukweli tu utamuweka huru na arudi kidiplomasia kwa Salaah afunguliwe tena line ya biashara. Kama ataipata fursa hiyo tena.

Nakala: nokwenumuya
 

Hapo umemaliza sikutaka kuchangia hii maada maana ilikaa kimajungumajungu, Hao akina Salaah wanaolalamikiwa wamefanya biashara na akina vunjabei muda tu, hao akina Salaah wanaolalamikiwa wamefanyabiashara na akina sandaland muda tu, hao akina salaah wanaolalamikiwa ukiwa china au dubai unajumua mzigo na pesa ukaishiwa ukifika ofisini kwao wanakupa pesa tena bila riba umalizie manunuzi then mzigo ukifika bongo mnapiga hesabu yao kabla ya kuchukua mzigo, nachoweza kusema huyo mkinga na mfanyakazi wake sio watu wema baada ya kupewa pesa akafungua biashara akaanza kuleta janja janja sasa watu wanadai chao analeta ujinga, kiufupi hayo ni majungu tu kama majungu mengine
 
Hueleweki mzee.. punguza jazba. Unawatetea au unawakemea
 
Nitaifata taratibu na sheria kudai haki yangu,kama kila mtu akidai ajichukulie sheria jinai au kutaifisha basi nchi haitokalika hii
Hapo ndio uelewe kuwa huyu nleta mada ni fataani tu, ni yeye mwenyewe Eliud au ni yeye Pius. Wametemeshwa mali walizoaminiwa kimitaani kama walivyopeana kimitaani, sasa iliyobaki apenyeze fitna kila pembe. Salaah inaonesha anakaba mpaka penati.
 
Na watu anaowafanyia hivi ni wengi
 
Serikali inawahusu nini haya majungu ya mitaani?

Hivi unataka kutwambia mleta mada hajuwi ofisi za wanasheria?
Wewe naambiwa ni mchepuko wa Salaah na umepewa jukumu kuja kutetea uozo. Wewe akufanye kimombasa kwa raha zako. Mengine na ushahidi upo. Na bwanako atashugulikiwa Kama sio leo basi kesho. Yuko wapi Manji aliyekuwa jeuri kuliko huyu Salaah. Sasa hivi si kawa teja huko USA? Yote yana mwisho tena mwisho mbaya sana.

Kama kaka yako alimwagiwa tindikali sababu ya udhurmati na wameshindwa kujifunza basi hawa watakatwa vichwa na viwiliwili vyao kupelekewa moto.
 
Nimepiga ramli apa na kugundua yafuatayo..
Kijana baada ya kuupata ukubwa uliotokana na Bw Salaah.. akaanza kupiga kazi za baadhi ya wateja Yeye kama yeye.. bila kupita mikononi mwa Boss...
Mimi kama mpiga ramli naona ubaya aliuanza kijana alichofanya salaah n kumuonesha tu kua yeye n Super power...
 
Ukisikia puuh ujuwe limekupata.

Wewe umeleta fitina za kijinga ukafikiri JF wote ni wajinga kama wewe.

Salaah kakupa pesa ukamuona ni mjinga, ogopa sana mtu anaekupa mamilioni ufanyie biashara, ilikuwa upige kazi wewe ufaidike na yeye afaidike, Magufuli alikuwa anasema "win win situation".

Wewe ukajifanya mjanja ukafikiri ni zako zote? Umetemeshwa pesa sasa unatafuta huruma kijinga.

Kumbuka tu, JF wote si wajinga kama wewe, uliyechezea shillingi chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…