Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Wewe jadili hoja kwa hoja, kuniambia mimi niende nikamchukulie chenji ni kuishiwa hoja. Ni kwanini hamtaki kurudisha chenji takriban 235mil? #Chenjiirudi

Una hoja ipi hapo ya kujibiwa zanidi ya kuambiwa nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji, maneno mengi ya nini? Si fanya kwa vitendo. Au hupajuwi alipo Salaah?

Au umezowea porojo zisizo na tija? Wenzako kina Salaah watu wa action siyo maneno.
 
Nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji, maneno mengi ya nini? Si fanya kwa vitendo. Au hupajuwi alipo Salaah?
Mimi sio mahakama wala sio dalali wa mahakama, na imeshaelezwa kwamba serikali yote imepakatwa na huyo dada Salha, hata Ikulu pia, yote imepakatwa na hao jamaa, sasa ukienda huko utaishi kutekwa na kuteswa tu, rejea kisa hapo chini

Kwahiyo kama suala ni kwenda haki kwa haki, basi chenjiirudishwe, kama ni uonevu basi ujulikane hivyo na sio kuutetea, #Chenjiirudi

Halafu wewe bibi udini unakafanya unakosa akili, wewe hata bint yako akija kufrw na mwarabu utatetea huyo mwarabu, wallahi nakwambia..
 
Wabongo walivyo na tamaa ya maisha makubwa ya kutambishiana Insta akiona upenyo wa kudokoa hawezi kukuacha lazma ulie tu 🤣🤣🤣
Hata mimi ningekuwa Pius lazima ningepiga asee. Siwezi kuchezea mihela kila siku halafu ukute nalipwa kima cha chini wakati daily nafanya transactions za mamia ya millions.

Huo ujinga sio kwangu mchaga.
 
Mimi sio mahakama wala sio dalali wa mahakama, na imeshaelezwa kwamba serikali yote imepakatwa na huyo dada Salha, hata Ikulu pia, yote imepakatwa na hao jamaa, sasa ukienda huko utaishi kutekwa na kuteswa tu, rejea kisa hapo chini

Kwahiyo kama suala ni kwenda haki kwa haki, basi chenjiirudishwe, kama ni uonevu basi ujulikane hivyo na sio kuutetea, #Chenjiirudi

Halafu wewe bibi udini unakafanya unakosa akili, wewe hata bint yako akija kufrw na mwarabu utatetea huyo mwarabu, wallahi nakwambia..

Wewe ni dalali wa JF?

Au wewe ni mjanja kuliko Eliud aliyeweza kum vonvince Boss Salaah mpaka amwachie mamilioni?
 
Wewe ni dalali wa JF?
Mimi ni mwana jamii forums, na nachangia tu hii hoja kama wewe unavyofanya, na hoja yangu ni kwanini hamtaki kumrudishia kijana wa watu chenji yake iki aendelee na maisha yake , kwanini? #Chenjiirudi

Nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji. ni mwana jamii forums, na nachangia tu hii hoja kama wewe unavyofanya, na hoja yangu ni kwanini hamtaki kumrudishia kijana wa watu chenji yake iki aendelee na maisha yake , kwanini? #Chenjiirudi

nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji.

Ya nini tabu na raha ipo?
 
Mimi ni mwana jamii forums, na nachangia tu hii hoja kama wewe unavyofanya, na hoja yangu ni kwanini hamtaki kumrudishia kijana wa watu chenji yake iki aendelee na maisha yake , kwanini? #Chenjiirudi

Mahakama zipo bro, na zinatenda haki. Mawakili wapo wengi vilevile, kwanini Eliud Gaspar hataki kutafuta haki yake kupitia njia sahihi? Ni kufungua kesi ya madai tu.
 
nenda kwa Salaah ukamchukulie wewe chenji.

Ya nini tabu na raha ipo?
Umeshaambiwa, akienda ofisini ili wapigiane hesabu hapatikani, na anazungushwa, ndio maana kaja kulalamika. Kwanini hamtaki kurudisha chenji 235mil? #Chenji irudi

Mahakama zipo bro, na zinatenda haki. Mawakili wapo wengi vilevile, kwanini Eliud Gaspar hataki kutafuta haki yake kupitia njia sahihi? Ni kufungua kesi ya madai tu.

Muulize huyo jamaa Abdul Swamadu Omary atakwambia jinsi serikali yote inavyoitwa ofisini kwaSalaah na wanaenda kunyamszishwa kwa mlungula
 
Muulize huyo jamaa atakwambia jinsi serikali yote inavyoitwa ofisini kwaSalaah na wanaenda kunyamszishwa kwa mlungula
Sasa hivi juu hapo Njabu Ngabu kakuandikia hivi...

Mahakama zipo bro, na zinatenda haki. Mawakili wapo wengi vilevile, kwanini Eliud Gaspar hataki kutafuta haki yake kupitia njia sahihi? Ni kufungua kesi ya madai tu.
 
Sasa hivi juu hapo Njabu Ngabu kakuandikia hivi...
Na ninemjibu kwamba serikali yote imepakatwa na Salha, ukienda huko utazungushwa tu na mwishowe utatekwa na kuteswa kama huyu jama hapo chini

Hivyo basi kama ni uonevu tusiutetee, kama ni haki hasi chenji irudishwe, #chenjiirudi
 
Kwani wanasheria ni serikali?
 
Muulize huyo jamaa Abdul Swamadu Omary atakwambia jinsi serikali yote inavyoitwa ofisini kwaSalaah na wanaenda kunyamszishwa kwa mlungula
Aweke ushahidi wa kesi aliyofungua na hukumu siyo maneno matupu.
 
Kwani wanasheria ni serikali?
Mahakama ni Mhimili wa serikali, na huko majaji wote wamepakatwa na watu wenye pesa, kama yule Jaji Leila Mansour aliwasaidia akina Salha kupora ardhi ya bilioni 8 huko Kigamboni, hadi leo jamaa anasota na mahakama bila kupata haki.., na ukikazana sana wanakuteka na kukutesa kama huyu jamaa hapo chini

Hivyo kama ni uonevu basi tusiutetee, na kama ni haki basi chenji irudishwe, #Chenjiirudi
 
Aweke ushahidi wa kesi na hukumu
Mtu kaenda polisi kaenda kubabikiziwa yeye kesi, yaani kageuziwa kibao, katekwa na kuteswa hadi kapoteza fahami, kapelekwa mahakamani kaachiwa mwishowe, ila kesi dhidi ya watesi na wazulumati wake hata mahakamani haijafikishwa...

Kwanini hamtaki kurudisha chenji kiasi cha 235mil? #Chenjiirudi
 
Back
Top Bottom