Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Cha kufanya mngeenda kwa mzee Yusuf Makamba nadhani atawasaidia ikiwa atakubali

Mzee Yusuf Makamba ni miongoni katika waTanzania wachache wenye nguvu sana ndani ya CCM na nchi hii kiujumla na kama unabisha ungeweza kumuuliza Hayati JPM angekuambia
 
Kweli Tanzania kutoboa n rahisi sana kwa ngozi nyeupe Ila wacha mama apite asome na ajionee hyo inshu ya jeshi ndani ya jeshi na BOT ndani ya nchi yenye BOT
 

Hili swala la watu kuteswa na maboss
Kuna siku limefanywa na MTuruki mmoja
Kafungia mfanyakazi ofisin kampa vitasa Vya kutosha

Na mfanyakazi kwa vile tuliambiwa sisi ni wanyonge hakwenda popote
 
Masikitiko hatunae jpm. Wale hawakuelewa aliposema utawala wake tajiri anaweza kufanywa lolote ni matajiri kama huyu salaah. Chini ya samia hawa wanaweza mfafanya raia yoyote wa kawaida lolote.
Tuombe mungu utawala huu uweze kumkomesha salaah.
 
Salah mtu safi sana.. sijui kabadilika lini?

Namkumbuka salah enzi za shule St marys High school enzi za O level Alikuwa mcheshi sana.. school bus ya st marys iliyokuwa inaenda mitaa ya kariakoo salah alikuwa kipenzi cha abiria wa madarasa yote kuanzia form 1 mpaka form 6

Leo Salah yule ndie anabinya watu mapumbuzzz kweli ? Kweli maisha yanabadilisha watu
 
Hili swala la watu kuteswa na maboss
Kuna siku limefanywa na MTuruki mmoja
Kafungia mfanyakazi ofisin kampa vitasa Vya kutosha

Na mfanyakazi kwa vile tuliambiwa sisi ni wanyonge hakwenda popote
Watanzania tunahitaji kuamka sana,hili neno unyonge linatuharibu,Yaani tunajikuta tunanyanyaswa kwenye ardhi yetu na hatuna cha kufanya,haya mambo kwenye nchi wanazojitambua hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…