Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Nenda kwa Counselor Salaah kachukuwe chenji.
Hapatikani ofisini, afanyeje sasa?🤷🏽‍♂️ , rudisheni chenji, 235mil. #Chenjiirudi

 
Hayo ni maneno ya mnaa tu anaejaribu kila njia kujiliwaza kwa ujinga wake wa kuichezea shillingi chooni.

Muulize huyo jamaa akueleze hali ikoje
 
Hawa Silent kipindi cha Magufuli walipotea sana. Naona kwa sasa wamerudi kwa kasi sana, kwanza kodi hawalipi wanafanya biashara za magendo nyingi sana, pili nchi inakosa kodi nyingi sana, tatu kuna mkono wa viongozi wakubwa wa nchi siwez wataja majina, nne Nothing TRA watafanya kwa silent.

MWISHO: mzee alisema “MTANIKUMBUKA” huu ni mwanzo tu. NHIF wamefuta toto Afya kadi.
 
AlhamduliLlah, mtowaji ni Allah.
Allah ndio atarudisha chenji? Hebu rudisheni chenji huko. #chenjiirudi

 
"na competitive advantage dhidi ya kampuni zingine zinavyofanya kazi za usafirishaji, na mwisho wa siku ili nao waweze kusurvive nao wameanza mtindo huo"


..............
Nimeishia hapa Kwa sasa..
Hii black market ya bureau de change ni kweli kabisa Mkuu,, Kwa silent ocean sijui
Ila hivi vikampuni vidogo vidogo ipo.. na wanaweka rate za kihuni, za kuwanufaisha, hawafati prevailing market exchange rate.
 
Ukakasi kidogo

Je unaweza weka RB ya Central aliyopewa Eliud?

Je waweza weka RB ya Msimbazi aliyopewa Pius?

Je waweza taja mtaa ambao duka la Eliud lipo?

Hizo 80mil ni kiremba au pamoja na mzigo?
Wewe unataka hivyo vitu vya nini?! Ili mfanye tracing mkamalize kazi kabisa?! Ndo hao wachumba zako wa kiarabu koko wamekutuma mtumie mbinu hii kumaliza kazi?!


SHAME ON YOU KILAZA HIMARS 😏🖕🏾
 
Poleni sana[emoji1787]ila iyo chenchi yenu sahau kabisa[emoji23]sio kwa serikali hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…