FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nyie mnamatatizo
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...