Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Nyie mnamatatizo
 
Hapana, chenji irudishwe tu; #chenjiirudi

mwizi hana haki mzee ndio maana mtaani huku tukikamata mwizi kaiba simu tunaichukua hio simu alafu tunampiga na kumchoma moto anauawa, huyo dogo tayar ni mwizi kwa nn mnampa haki ya kurudishiwa hela yoyote?? sasa maisha yangekuwa marahisi ivyo kila mtu si angekuwa anaiba akikamatwa analipa alafu maisha yanaendelea? dawa ya wangese kama hao ni hio unabeba chako na ziada na kuwafilisi kabisa hakuna tena kufanya biashara dar tena inabid akienda ofisin kwa salah abebwe kabisa awekwe ndan kwa kes ya wizi,,,yaani unamwibia mtu afu unaomba chenchi??
 
Hapa anaedai chenji ni Eliud, sio Pius, huko kichwani umejaza kinyesi cha basha wako au tatizo ni nini?

#chenjiirudi. ; na lazima itarudi, hata ikibidi kumwagiana tindikali, save hii comment
 
Nyie mnamatatizo
Mimi nahisi matatizo ya kujitungia unayo wewe katika fikra zako. Utakuwa ni katika wale wanaoitwa "Islamophobes".

Hivi Uislam umekukosa nini? Kuwa muwazi na mkweli katika majibu yako, siyo kuleta mambo ya fikra zako bila facts.
 
Kuna kamuda flani matajiri waliishi kama mashetani wakina yahe wakachekelea sasa "bottom up"
Nadhani uliiona na dhiki iliyokuwepo wakati huo, watu walufungwa hovyo kwa kubambikiwa kesi, mpaka watu wengine wakaikimbia nchi. Huyajuwi?
 
Eliud kapewa uwakala na ili asizubaezubae kapewa na mtaji mkubwa sana. Kachezea shillingi chooni sasa anakuja kulialia mitandao ya kijamii.

Tujiulize, kwani wakala wa silent ocean Tanzania hii u ni yeye Eliud tu?
 
Sasa tunauliza, ni kwanini hamtaki kurudisha chenji, je, dhulma au ni ubabe tu? #chenjiirudi

Faiza [emoji1663] akitokea mahali basi Jua Kuna mvaa kobazi mmoja ameshikwa MbUpU hata kama mvaa kobazi jambazi sugu, mlawiti, dhalimu, tapeli kikubwa anavaa kobazi na suruali njiwa,

Ndio hapo ujue kuwa the existing of maamuma wa kidini is real huo ni u kichaa.
Kumbe ulikuwa huelewi kuwa kila Muislam ni ndugu ya Muislam mwenzie? Uislam ni mwema sana.

Kama ni wema basi rudisheni chenji. #Chenjiirudi

Back
Top Bottom