Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Poleni sana[emoji1787]ila iyo chenchi yenu sahau kabisa[emoji23]sio kwa serikali hii
Kama kweli wao ni wahali kwa kujifanya wanajengq misikiti, basi warudishe chenji 235mil; unajengaje misikiti kwa chenji ya mtu kimabavu? #Chenjiirudi

 
Aiseee!
 
Ni hatari sana. Sasa hao Silent Ocean ndio wakufunzi kwa hizo kampuni zingine.
 
Kumbe ulikuwa huelewi kuwa kila Muislam ni ndugu ya Muislam mwenzie? Uislam ni mwema sana.

Wema katika kutetea maovu?

Mbona kuna waislamu wengine humu wameonyeshwa kudhurumiwa na huyo muislam mwenzao?

Wema wa mtu au watu ni matendo na sio dini yake.

Kama ni wema mbona wanakwepa kwenda ibada ya Hija?

Naambiwa Waislamu wafiraji, dhurmati, washirikina, wauaji huwa hawaendi kuhiji.

Na ukitaka mfano ni hao GSM na Silent Ocean wao. Hawaendo hija sababu wanajua madhambi yao wanaogopa kuwa wanaweza kufa.

Au hawaendi sababu hawana nauli?

Endeleeni kutetea ujinga na mtachomwa moto wote.
 
Wewe kamkamkabe Piusi aliyekudhulumu.
 
Huyo mama ni maamuma wa dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…