Mara nyingi wanaoishi kihalifu ndio huwa na desturi ya kuringishia bastola kwa mtindo huu. Tena sio moja hizo ni tatu.Kwani kushika bastola kuna shida gani? Ameuwa kwani? Ukiwa na hela hushindwi kumiliki bastola kwa ajili ya usalama wako, mshenzi yeyote mwenye nia mbaya unambutua mammae, eti mpumbavu flani hivi aje kwa nia mbaya and then nimuangalie, namtwanga la mguu
Mara nyingi wanaoishi kihalifu ndio huwa na desturi ya kuringishia bastola kwa mtindo huu. Tena sio moja hizo ni tatu.
Aliwafanya nn mpak wamfanyie hvyo kuna sababuIla huyu GSM ,hawa washenzi ni organised criminals , GSM ni crime family ,na inaonekana hii michezo wanafanya kwa muda mrefu sasa ,nawaomba mpitie malalamiko ya huyu jamaa ambaye naye analalamika alidhulumiwa na kutekwa ,kulawitiwa na kuteswa vibaya mno na genge la huyo mafia Salaah GSM family ,tena inasemekana alifanya huo unyama nyumbani kwake , kwa kuwakodi mabondia akina Japhet kaseba na wahuni wengine kuja kumtesa na kumnajisi huyo jamaa ,
Pitieni hiyo video ,mchizi amefunguka haswa na kuna malalamiko mengine mengi watu wamelalamikia hii family ya mamafioso kwa muda mrefu .
Huyo jamaa aliwahi fanya biashara na hao mamafioso gsm ,
Wakati wa JK kuna askari alisanua Melissa ya China ilikuwa na meno ya tembo. Kumbe hakujua ni ya Mzee. Hadi leo hatujui alipo.Afande nokwenumuya uko wapi ushujaa wako ?
Hivi ndivyo ulifunzwa kuja kuandika nyuma ya key body ?
Afande unahisi kwa huu ushahidi ulionao ukijitokeza adharani ukaeleza umma ujinga huu unahisi sheria haiwezi kuchukua mkondo wake .
Ikiwa umeapa kuilinda katiba na haki ya nchi yako na raia wake embu simama kuwa tayari kufa ila ukweli uifikie nchi yako na utatuliwe .
Nakuahidi kuwa hutokufa ikiwa utasimamia misingi ya kiapo chako na ikiwa utakufa basi umekufa kwenye haki .
Ila kueleza umma ikiwa ni ngumu kwako ila ukawa na uhakika wa kile usemacho ila unaamini wakubwa zako watamlinda muhusika basi tumia mkono wako kuipatia haki jamii yako .
Come on afande nokwenumuya
Kwakweli hapo mwenye shida kabisa ni PIUS..Kijana PIUS ni mwizi na ndio alieharibu kila kitu, Lakini bado wachangiaji wanamuona alikua sawa tu na wanashutumuu wengine.
Asilimia kubwa ya Matajiri huwa ni mamafia, Unapopoteza hela yake ujue kuwa hayatakuwa madogo, hiyo kanuni inaeleweka kabisa.
Usiwe na hofu za hivyo .Wakati wa JK kuna askari alisanua Melissa ya China ilikuwa na meno ya tembo. Kumbe hakujua ni ya Mzee. Hadi leo hatujui alipo.
Tatizo ni huyo mmoja hataki kupigiana hesabuHii issue Eliud aliikosea tangu mwanzo wake. Alishauliwa kuweka mahesabu sawa ila hakufanya.
Wanaoshauri mahakaha: issue ya Eliud na Salah (ku-kopeshana) haina vielelezo vya ushahidi wa kufungua kesi ya madai same as Eliud na Pius hakuna makabidhiano ya mali ktk yao ivyo kukosa vielelezo vya kufungua jinai.
Kuhusu change: Kuna uwezekano mkubwa Eliud alishindwa kuelewa mashart ya ule mkopo (maybe ulikuwa na interest) na ndiyo maana Eliud anahisi (kwani hana hesabu) kudhulumiwa.
Nawashauri wakae chini wayamalize (though yanaweza chukua Muda mrefu). Salah na Eliud ni washikaji waliozinguana bado wanaweza patana.
Awe mvumilie tu uku akiendelea kumsumbua at last Salah hasira zitapungua na atakubari wakae chini. Naona hii ndiyo best way Eliud anaweza fuata ili kuyamaliza kwani njia zingine ni ngumu kwani alisha mess toka mwanzo mwa gameTatizo ni huyo mmoja hataki kupigiana hesabu
Atakufa kweli...Ikiwa umeapa kuilinda katiba na haki ya nchi yako na raia wake embu simama kuwa tayari kufa ila ukweli uifikie nchi yako na utatuliwe .
😂😂😂kama ni kweli basi hapo kuna hatari ukawa mlevi chapombe mazima,maana inabidi hiyo dozi iwe deile,ukiacha tu jini hili hapa,kudadeki zako,tena lile Maya LA mpemba wa UMUGHAKA 😂Na kwa kuwa majini hayapendi pombe na kitimoto, usiku huu napiga KVANT kubwa na Kitimoto kilo 2, yakija yanakutana na kitu hayapendi.
Halafu huyu salah anaweza kumpata mtoa Uzi kiurahisi kupitia kwa bwana eliud,maana eliud ndo aloeleza kila kitu kwa mtoa Uzi, sasa hapa bwana kuruta aka koplo Mungu wetu na amlindeHuenda mie ndio nikawa wa kwanza kusoma na kumaliza hii skendo.
Kama nchi yetu tumefikia hapa huenda usalama wa kesho yetu ukawa Mdogo hasa sir vijana tunaomini kwenye Biashara naomba mamlaka husika zitende haki kwenye hili.
Sababu mama Samia huwa anapita JF basi nimuombe alivalie njuga hili swala na Mambo Kama haya Kama yapo kweli na wanachi wanayashuhudia Basi huenda Taifa likaja kupata bomu ambalo litapeleka Taifa kwenye umaskini na kuingia kwenye fujo na nchi kuwa ngumu kutawalika sababu wahuni sharubu zao zishakuwa za chuma.
MAMA SAMIA NAOMBE UJE PM TUZUNGUMZE KWANIABA YA VIJANA WENZANGU WENGI KWA UCHACHE SANA.