Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kwani kushika bastola kuna shida gani? Ameuwa kwani? Ukiwa na hela hushindwi kumiliki bastola kwa ajili ya usalama wako, mshenzi yeyote mwenye nia mbaya unambutua mammae, eti mpumbavu flani hivi aje kwa nia mbaya and then nimuangalie, namtwanga la mguu
Mara nyingi wanaoishi kihalifu ndio huwa na desturi ya kuringishia bastola kwa mtindo huu. Tena sio moja hizo ni tatu.
 
Mara nyingi wanaoishi kihalifu ndio huwa na desturi ya kuringishia bastola kwa mtindo huu. Tena sio moja hizo ni tatu.

Kama ni kweli ayafanyayo basi hakina maana yoyote, ni ujinga, na Mwenyezi Mungu hapendi, ila mimi na wewe bado hatuna uhakika wa hilo isipokua tunayasikia tu.
 
Ila huyu GSM ,hawa washenzi ni organised criminals , GSM ni crime family ,na inaonekana hii michezo wanafanya kwa muda mrefu sasa ,nawaomba mpitie malalamiko ya huyu jamaa ambaye naye analalamika alidhulumiwa na kutekwa ,kulawitiwa na kuteswa vibaya mno na genge la huyo mafia Salaah GSM family ,tena inasemekana alifanya huo unyama nyumbani kwake , kwa kuwakodi mabondia akina Japhet kaseba na wahuni wengine kuja kumtesa na kumnajisi huyo jamaa ,
Pitieni hiyo video ,mchizi amefunguka haswa na kuna malalamiko mengine mengi watu wamelalamikia hii family ya mamafioso kwa muda mrefu .
Huyo jamaa aliwahi fanya biashara na hao mamafioso gsm ,

Aliwafanya nn mpak wamfanyie hvyo kuna sababu
 
Afande nokwenumuya uko wapi ushujaa wako ?

Hivi ndivyo ulifunzwa kuja kuandika nyuma ya key body ?

Afande unahisi kwa huu ushahidi ulionao ukijitokeza adharani ukaeleza umma ujinga huu unahisi sheria haiwezi kuchukua mkondo wake .

Ikiwa umeapa kuilinda katiba na haki ya nchi yako na raia wake embu simama kuwa tayari kufa ila ukweli uifikie nchi yako na utatuliwe .

Nakuahidi kuwa hutokufa ikiwa utasimamia misingi ya kiapo chako na ikiwa utakufa basi umekufa kwenye haki .

Ila kueleza umma ikiwa ni ngumu kwako ila ukawa na uhakika wa kile usemacho ila unaamini wakubwa zako watamlinda muhusika basi tumia mkono wako kuipatia haki jamii yako .

Come on afande nokwenumuya
 
Wakati wa JK kuna askari alisanua Melissa ya China ilikuwa na meno ya tembo. Kumbe hakujua ni ya Mzee. Hadi leo hatujui alipo.
 
Kijana PIUS ni mwizi na ndio alieharibu kila kitu, Lakini bado wachangiaji wanamuona alikua sawa tu na wanashutumuu wengine.

Asilimia kubwa ya Matajiri huwa ni mamafia, Unapopoteza hela yake ujue kuwa hayatakuwa madogo, hiyo kanuni inaeleweka kabisa.
Kwakweli hapo mwenye shida kabisa ni PIUS..

Kama asingeendekeza tamaa zake za Kijinga wala yasingefika huku.

Watanzania tuna shida sana, mtu anakuibia lakini ukimchukulia hatua Yeye na Ndugu zake wanaungana kukulaumu kuwa huna Ubinadamu... Ubinadamu wa nini wakati wewe unanihujumu?
 
Wakati wa JK kuna askari alisanua Melissa ya China ilikuwa na meno ya tembo. Kumbe hakujua ni ya Mzee. Hadi leo hatujui alipo.
Usiwe na hofu za hivyo .
Huyo askari ni mzima wa afya yuko Kirando _ Sumbawanga mkoani Rukwa anafanya kazi kama kawaida .

Usiogope kupotea ila ogopa kutotenda haki maana ndiyo kiapo chako.

Kwani una udogo wa cheo kiasi cha kuogopa kueleza umma A-Z mpaka huhisi kupotezwa come on hayo mambo yalishapitwa na muda labda umistake kwingine ila sio kwenye kufichua uovu.
 
Hii issue Eliud aliikosea tangu mwanzo wake. Alishauliwa kuweka mahesabu sawa ila hakufanya.
Wanaoshauri mahakaha: issue ya Eliud na Salah (ku-kopeshana) haina vielelezo vya ushahidi wa kufungua kesi ya madai same as Eliud na Pius hakuna makabidhiano ya mali ktk yao ivyo kukosa vielelezo vya kufungua jinai.
Kuhusu change: Kuna uwezekano mkubwa Eliud alishindwa kuelewa mashart ya ule mkopo (maybe ulikuwa na interest) na ndiyo maana Eliud anahisi (kwani hana hesabu) kudhulumiwa.
Nawashauri wakae chini wayamalize (though yanaweza chukua Muda mrefu). Salah na Eliud ni washikaji waliozinguana bado wanaweza patana.
 
Tatizo ni huyo mmoja hataki kupigiana hesabu
 
Watanzania vumilieni kwa muda ....ninakuja kuwakomboa na kuuondoa huu mfumo....just a little bit longer...
 
Ikiwa umeapa kuilinda katiba na haki ya nchi yako na raia wake embu simama kuwa tayari kufa ila ukweli uifikie nchi yako na utatuliwe .
Atakufa kweli...

Usijifanye shujaa kwenye serikali corrupt, utakufa na utasahaulika...

Binafsi naona hata hiki alichofanya ni hatari kwake

Si unaona anasema Eliud alitishwa na Jamaa wa TISS

Usifikiri utani, akienda zaidi ya hapa atakufa na hakuna atakaejali.
 
Mkimalizana na SILENT OCEAN karibuni dollrubii_decors

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Na kwa kuwa majini hayapendi pombe na kitimoto, usiku huu napiga KVANT kubwa na Kitimoto kilo 2, yakija yanakutana na kitu hayapendi.
😂😂😂kama ni kweli basi hapo kuna hatari ukawa mlevi chapombe mazima,maana inabidi hiyo dozi iwe deile,ukiacha tu jini hili hapa,kudadeki zako,tena lile Maya LA mpemba wa UMUGHAKA 😂
 
Huenda mie ndio nikawa wa kwanza kusoma na kumaliza hii skendo.

Kama nchi yetu tumefikia hapa huenda usalama wa kesho yetu ukawa Mdogo hasa sir vijana tunaomini kwenye Biashara naomba mamlaka husika zitende haki kwenye hili.

Sababu mama Samia huwa anapita JF basi nimuombe alivalie njuga hili swala na Mambo Kama haya Kama yapo kweli na wanachi wanayashuhudia Basi huenda Taifa likaja kupata bomu ambalo litapeleka Taifa kwenye umaskini na kuingia kwenye fujo na nchi kuwa ngumu kutawalika sababu wahuni sharubu zao zishakuwa za chuma.

MAMA SAMIA NAOMBE UJE PM TUZUNGUMZE KWANIABA YA VIJANA WENZANGU WENGI KWA UCHACHE SANA.
Halafu huyu salah anaweza kumpata mtoa Uzi kiurahisi kupitia kwa bwana eliud,maana eliud ndo aloeleza kila kitu kwa mtoa Uzi, sasa hapa bwana kuruta aka koplo Mungu wetu na amlinde
 
Back
Top Bottom