Kwa kweli kama mtu mnyonge anaenda kufungua kesi kisha police wanasema huyu mtu hatuwezi kumfungulia kesi hakika tunahitaji Katiba mpya isiyo bagua huyu ni nani?Tena ukitaka kufa haraka au uchukiwe sana we kuwa muaminifu na mkweli utapewa majina mabaya mabaya watu wakisubiri anguko lako, kwahiyo kama kuna gape la kula piga tu watoto wako hawatakula uzalendo wako ambao mwishoe utatolewa mfano wa kama baba/mama mpumbavu kwa kushindwa kuwaandalia maisha wanao wakati ulikua na nafasi
Ile ni ndogo sana. Ilipaswa ukoo wote uangamizwe. Yani kusibaki hata punje yao tanzania hapa. Warudi kwao Yemen.Sio ndo kaka Yao kamwagiwa tindikali
😂😂😂 Mwagilia moyo mkuu Ila ya Salaah na JK usiache kutuletea haujamaliza uzi umeishia kati ilikuaje JK akampa Salaah Form 4 Failure ubalozi wa China?Hahhahaha. Hapa niko namwagilia moyo ndugu. Nimemaliza kilo 2. Kvant kubwa sasa napiga safari kubwa baridi. Majini yakija nayalawiti yaende kwa ndugu yao askari wa Zanzibar
Ningekuwa mm aisee siku hiyo ingekuwa zaidi ya rumble in the jungle tungezipiga haswaaa 🥊😁Hili swala la watu kuteswa na maboss
Kuna siku limefanywa na MTuruki mmoja
Kafungia mfanyakazi ofisin kampa vitasa Vya kutosha
Na mfanyakazi kwa vile tuliambiwa sisi ni wanyonge hakwenda popote
Hawa was#ng# ni watu hatari Sana,usiombe uingie kwenye 18 zao,Ni Bora ujitose baharini ufe.Jamaa wanaswali sana, wanaonekana waungwana sana ila behind the scenes...
Tena ukitaka kufa haraka au uchukiwe sana we kuwa muaminifu na mkweli utapewa majina mabaya mabaya watu wakisubiri anguko lako, kwahiyo kama kuna gape la kula piga tu watoto wako hawatakula uzalendo wako ambao mwishoe utatolewa mfano wa kama baba/mama mpumbavu kwa kushindwa kuwaandalia maisha wanao wakati ulikua na nafasi
Waziri Mkuu huyu huyu aliesadikika kuingiza shehena ya vitenge bila kulipq kodi??Nasema nchi hii mama asaidiwe hakuna chombo chochote chenye uwezo wa kutoa haki mbele ya Hawa wahuni GSM.
Ndiyo maana mwisho imebaki Kwa mh.rais na mh.waziri mkuu tu.
Nina imani Sana Kwa mh.rais na mh.majaaliwa haki na Mali zangu zote zitarudishwa.
Lakini kama familia tumekubaliana kwanza tufate proper channels but siku video iliyotayarishwa tukaitoa basi hii ni zaidi ya kashfa.
Mbona kuna maelezo mtandaoni kuwa ana degree ya accoutancyKuna mahali nimesoma huyu salaah aliwahi kuwa balozi wa tanzania nchini china enzi za kikwete licha ya kutokuwa na elimu wala qualification yoyote.
Hawa was#ng# ni watu hatari Sana,usiombe uingie kwenye 18 zao,Ni Bora ujitose baharini ufe.
Enzi za magu waliufyata maana walijua pale magogoni yupo kichaa mwenzao,ila sasa hivi wanafanya lolote. Imagine mtu anaenda polisi kutoa taarifa ya kutekwa na kuteswa ila anajibiwa hapa huwezi kupata msaada wowote,Kuna maelezo kutoka juu hatuwezi kumfanya chochote huyo saaalah na yunatetea Ugali wetu. Sasa watu Kama Hawa wannyonge wakimbilie wapi kmmmk!! Hivi watu diazin hii wakimkumbuka Magufuli walaumiwe kwa kuitwa sukuma gang?
Ndiyo maana south kila mtu ana bastola,ukiona mtu Kama huyu humwezi unamlambisha mchanga kwa shaba ya kichwa tu,tutaenda kujibu siku ya mwisho.
Italian Job kabisa yaan dahGSM ni Mafian Cartel
Usome uzi kwa ujumla wake. Kwenye utafutaji alichokifanya huyo jamaa Ni kawaida tu. Kwanza si umeona alishauriwa aajiri mwasibu aliyesomea akapuuzia? Sasa kwa nini asipigwe.Lakin ukisoma hapo Eliud ana kosa we ungemuelewa?
Hahhahahahhahaha.Imeuma mkuu, emu ukipata wasaa ongezea na huo mchuzi mwingine na hizo nyama nyama ulizobakiza kumhusu huyu mtu maana hatimae umetimiza ahadi yako saa 72 umemwaga mboga Salaah sasa anaandaa fulushi la majini uko akutupie
Sasa sijui atatuma la wiki la mwezi au la mwaka hapo sijui Ila kabla hajatuma km kuna ulichokibakiza kimalizie mkuu yaan mwaga yote yanamhusu usibakize na usimuonee huruma maana yeye hana huruma na wewe au mtu mwingine yeyote anajilengesha kwenye anga zake,
Na kingine hakikisha unaanza kutumia mafuta ya kitimoto km mafuta ya kujipaka utanishukuru siku moja
Trust no one...Jamaa wanaswali sana, wanaonekana waungwana sana ila behind the scenes...
Bila kuwepo mfumo madhubuti wa kuzuia au kudhibiti; wafanyakazi wote duniani kwa aliye ajiriwa kwa mshahara; kila mmoja huwa ana bei yake, yupo atakaye pindisha maamuzi kwa kupewa bilioni, wapo watakao pindisha kwa kupewa laki n.kHakuna watu wanakula rushwa kama viongoz serikalini ,hizo taasisi zote sijui mwema nani