Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Tena ukitaka kufa haraka au uchukiwe sana we kuwa muaminifu na mkweli utapewa majina mabaya mabaya watu wakisubiri anguko lako, kwahiyo kama kuna gape la kula piga tu watoto wako hawatakula uzalendo wako ambao mwishoe utatolewa mfano wa kama baba/mama mpumbavu kwa kushindwa kuwaandalia maisha wanao wakati ulikua na nafasi
Kwa kweli kama mtu mnyonge anaenda kufungua kesi kisha police wanasema huyu mtu hatuwezi kumfungulia kesi hakika tunahitaji Katiba mpya isiyo bagua huyu ni nani?
 
Timing ndiyo shida,

Yule Fahad wa Lake oil naye soon tutasoma story zake humu katesa madereva wake.

Huu uzi chini picha zimetolewa ila kulikuwepo picha Saalah ameshika mkwaju enzi za HSC.
 
Hahhahaha. Hapa niko namwagilia moyo ndugu. Nimemaliza kilo 2. Kvant kubwa sasa napiga safari kubwa baridi. Majini yakija nayalawiti yaende kwa ndugu yao askari wa Zanzibar
😂😂😂 Mwagilia moyo mkuu Ila ya Salaah na JK usiache kutuletea haujamaliza uzi umeishia kati ilikuaje JK akampa Salaah Form 4 Failure ubalozi wa China?
 
Jamaa wanaswali sana, wanaonekana waungwana sana ila behind the scenes...
Hawa was#ng# ni watu hatari Sana,usiombe uingie kwenye 18 zao,Ni Bora ujitose baharini ufe.
Enzi za magu waliufyata maana walijua pale magogoni yupo kichaa mwenzao,ila sasa hivi wanafanya lolote. Imagine mtu anaenda polisi kutoa taarifa ya kutekwa na kuteswa ila anajibiwa hapa huwezi kupata msaada wowote,Kuna maelezo kutoka juu hatuwezi kumfanya chochote huyo saaalah na tunatetea Ugali wetu. Sasa watu Kama Hawa wanyonge wakimbilie wapi kmmmk!! Hivi watu diazin hii wakimkumbuka Magufuli walaumiwe kwa kuitwa sukuma gang?

Ndiyo maana south watu wengi wanamiliki bastola,ukiona mtu Kama huyu humwezi unamlambisha mchanga kwa shaba ya kichwa tu akapumzike ahera madukani ,tutaenda kujibu siku ya mwisho kwa Mungu .
 
Tena ukitaka kufa haraka au uchukiwe sana we kuwa muaminifu na mkweli utapewa majina mabaya mabaya watu wakisubiri anguko lako, kwahiyo kama kuna gape la kula piga tu watoto wako hawatakula uzalendo wako ambao mwishoe utatolewa mfano wa kama baba/mama mpumbavu kwa kushindwa kuwaandalia maisha wanao wakati ulikua na nafasi

Hakuna watu wanakula rushwa kama viongoz serikalini ,hizo taasisi zote sijui mwema nani
 
Nasema nchi hii mama asaidiwe hakuna chombo chochote chenye uwezo wa kutoa haki mbele ya Hawa wahuni GSM.

Ndiyo maana mwisho imebaki Kwa mh.rais na mh.waziri mkuu tu.

Nina imani Sana Kwa mh.rais na mh.majaaliwa haki na Mali zangu zote zitarudishwa.

Lakini kama familia tumekubaliana kwanza tufate proper channels but siku video iliyotayarishwa tukaitoa basi hii ni zaidi ya kashfa.
Waziri Mkuu huyu huyu aliesadikika kuingiza shehena ya vitenge bila kulipq kodi??

Hii nchi ukombozi wake ni Mungu mwenye akitaka kwa kuwatia nguvu wanyonge wadai haki yao. Kinyume na hapo tutawaona kina GSM wengi tu maana washajua udhaifu wa viongozi wetu ni matumbo yao.
 
Hawa was#ng# ni watu hatari Sana,usiombe uingie kwenye 18 zao,Ni Bora ujitose baharini ufe.
Enzi za magu waliufyata maana walijua pale magogoni yupo kichaa mwenzao,ila sasa hivi wanafanya lolote. Imagine mtu anaenda polisi kutoa taarifa ya kutekwa na kuteswa ila anajibiwa hapa huwezi kupata msaada wowote,Kuna maelezo kutoka juu hatuwezi kumfanya chochote huyo saaalah na yunatetea Ugali wetu. Sasa watu Kama Hawa wannyonge wakimbilie wapi kmmmk!! Hivi watu diazin hii wakimkumbuka Magufuli walaumiwe kwa kuitwa sukuma gang?

Ndiyo maana south kila mtu ana bastola,ukiona mtu Kama huyu humwezi unamlambisha mchanga kwa shaba ya kichwa tu,tutaenda kujibu siku ya mwisho.

Lakin ukisoma hapo Eliud ana kosa we ungemuelewa?
 
Ni kwanini watu hatutak kuwa responsible kwa makosa yetu....ulichukua mkopo umeshindwa kurudisha wacha wachukue kilicho chao....apo cha muhimu ni kukomaa au kuomba urudishiwe chako baada ya mahesabu...kwanza huo ni uzembe wenu...kabla ya kuweka hzo mali zenu mlishindwa kupiga hesabu had kujua ni mali kias gan mnatakiwa kuziolozesha ili kulipa deni ila mkaona muweke mali zote.... hyo mfanyakaz aliewaibia ndio ww mnatakiwa kudeal nae na siyo hyo Salaah...acha roho nzuri wakat mwngne haisaidii
 
Imeuma mkuu, emu ukipata wasaa ongezea na huo mchuzi mwingine na hizo nyama nyama ulizobakiza kumhusu huyu mtu maana hatimae umetimiza ahadi yako saa 72 umemwaga mboga Salaah sasa anaandaa fulushi la majini uko akutupie

Sasa sijui atatuma la wiki la mwezi au la mwaka hapo sijui Ila kabla hajatuma km kuna ulichokibakiza kimalizie mkuu yaan mwaga yote yanamhusu usibakize na usimuonee huruma maana yeye hana huruma na wewe au mtu mwingine yeyote anajilengesha kwenye anga zake,

Na kingine hakikisha unaanza kutumia mafuta ya kitimoto km mafuta ya kujipaka utanishukuru siku moja
Hahhahahahhahaha.

Asante sana ndugu yangu.

Namshukuru Mungu kwa kutimiza ahadi kabla ya muda maana hawa waarabu na majini yasijeninyonga mkahisi tumepewa pesa na kusaliti uzalendo.

Ila hadi sasa niko salama na Mungu ni mwema sana.

Majini yao yataishia kuwarudia tu.
 
Hakuna watu wanakula rushwa kama viongoz serikalini ,hizo taasisi zote sijui mwema nani
Bila kuwepo mfumo madhubuti wa kuzuia au kudhibiti; wafanyakazi wote duniani kwa aliye ajiriwa kwa mshahara; kila mmoja huwa ana bei yake, yupo atakaye pindisha maamuzi kwa kupewa bilioni, wapo watakao pindisha kwa kupewa laki n.k
 
Back
Top Bottom