Saasisha Mafuwe: Rais Samia hajawahi kuwa mnyonge, ni shupavu kweli

Saasisha Mafuwe: Rais Samia hajawahi kuwa mnyonge, ni shupavu kweli

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Saasisha Mafuwe (CCM), akitoa taarifa Bungeni kuweka sawa kauli ya Mhe. Ester Bulaya (CCM) kauli ya ''Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni'' na kusema Rais Dkt Samia ni shupavu na hajawahi kuwa mnyonge.

 
“Mchagha Fala”

Wachagha hapo nyuma they were smarter kwenye uwanja wa kutafuta pesa wa siku hizi njaa mbele,wapo wapo tu hawajui wanaenda mbele au wanarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom