Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

hata kama nitafanyaje zaidi ya 2025 kumpigia mgombea wa chadema japo bado haitasaidia kitu
Unapiga na kuilinda kura Yako. Yaan mnapiga kura afu mnaenda kukaa sehemu mkijua mmepiga wangapi(mnaounga mkono mgombea) then matokeo yakitoka tofauti mnakinukisha. Mbona simple tu.
 
Wa kwetu eti kaandika kabisa, I Samia Suluhu Hassan, wakati Dubai wameandika, By This Appointment Letter! Aibu kubwa.
 
ukiiangalia kwa kisheria hiyo instrument, (power of attorney), kisheria kuna muhuni mmoja kaingia mktaba na serikali ya Tanzania, Angalia kiongozi gani wa serikali ya Dubai Emirates , au United Arab Emirate aliyesaini mkataba ule
Wa kwetu eti kaandika kabisa, I Samia Suluhu Hassan, wakati Dubai wameandika, By This Appointment Letter! Aibu kubwa.
Unaingia Mkataba wa nchi na wahuni, ambao hawana hawana hata consent ya nchi zao, eti unawakilisha nchi ya Tanzania kuuza bandari za Tanganyika, dah inasikitisha sana
 
ahsante sana mkuu kwa attachment, ndio uone sasa huo uhuni
 
hahaha, kazi kweli, mimi na wewe tuna line of departure, kazi yangu ni kuelimisha jamii kama mwanasheri (citizenary) sio kufanya siasa, (kama wewe) na nina wajibu kwa nchi yangu kwa elimu Mungu aliyonijalia silipwi, na wala siitaji kulipwa, ndio maana nimesoma mkataba kama ulivyo na nimeona mapungufu mengi ya kisheria ndio naelimisha watanzania wenzangu ambao sio wanasheria waelewe hilo.

kama unadhani ni kitu kidogo kwa Rais wa JMT kusaini Mkataba na Muuni bila kupewa idhini na nchi yake kwenye mkataba wa nchi ni shida.

wewe endelea na siasa, mimi niache na taaluma yangu, lakini hunizuii kuelimisha watanzania wenzangu kwenye jambo la msingi
 
Kajielimishe kwanza serikali ya Emirate ya Dubai inaendeshwaje ndipo ujue kama Musabih amepewa dhamana na nani. Mnapotosha watu kwa elimu zenu zisizo na manufaa kwa jamii.
 
Kajielimishe kwanza serikali ya Emirate ya Dubai inaendeshwaje ndipo ujue kama Musabih amepewa dhamana na nani. Mnapotosha watu kwa elimu zenu zisizo na manufaa kwa jamii.
umesoima lakini power of attorneys, ya Dubai Emirates, au ya the United Arab Emirates, au ya Dubai Emirates na the United Arab Emirates, au unabisha tu?, soma hiyo document nieleze kapewa na nani mamlaka ya kuendorse hiyo document? au unaleta siasa kwenye facts, am not a politician pls, wewe soma niambie paragraph fulani inaonyesha kapewa mamlaka na fulani, ambaye ni kiongozi wa nchi hizo au ushirikiano wa nchi hizo

mbona yetu haina utata, imemtaja SSH kama kampa mbarawa,?
 
Mimi wapi nimebisha? Ile ni Emirate na kwa mfumo wa uendeshaji wa nchi yao power of attorney inatolewa kwa mfumo huo, yaani mtoaji ni given! Wewe ndiyo unataka kubisha mkuu. Jambo usilolijua, hii PoA na Mkataba wa IGA, kwa watawala vimewekwa katika lugha ya kiarabu ambapo imenyooka katika kuelel eza watu au vitu. Lete hoja ya pili hii ya kwanza umefeli. Kwanza unachanganya mambo baina ya Emirate of Dubai na United Arab Emirates. Let sababu yako ya pili, hii ni muflisi.
 
Kajielimishe kwanza serikali ya Emirate ya Dubai inaendeshwaje ndipo ujue kama Musabih amepewa dhamana na nani. Mnapotosha watu kwa elimu zenu zisizo na manufaa kwa jamii.
Hapa sasa ndo maajabu!!!!! Si utuambie wewe namna inavyoendeshwa ili tusiojua tujue!? Huyu kaonyesha huku kuna Rais na waziri wake... upande mwingine kaonyesha kuna raia tu bila maelezo yoyote ya nchi yake. Wewe kama unajua si lete ujuzi huo tubalance mambo?
 
Nikuulize jambo moja. Ukisema "Mwenyezimungu anesema" then utahitaji ufafanuzi kama ni Mwenyezimungu gani?
 
kumbe unabishana, mimi sio mwanasiasa pls narudia, ni mwanasheria ? hakuna kitu kwenye sheria kinaitwa mfumo wa uendeshaji wao in reference to any documents, kndly note that a legal document should meet the test of drafting, nadhani naongea na mtu asiyejua anaongea nini, tafuta mwanasheria akuelimishe, usikurupuke.

mimi natoa elimu bure ya sheria, kuhusu mkataba

au unabisha tu, hii ni sheria sio siasa,
 
Hakuna kitu hapo, nenda point na 2 tuone ila kwa hii ya kwanza, haina hoja.
 
Tunasubiri ya pili hayo ya kwanza tumeelewa sana,,, huyu mzanzibari atuachie nchi yetu imemshinda yeye kila kitu ni kuuza tu mwishowe sote tutauzwa kama watumwa kwa waarabu
 
Unajua wapumbavu wachache na ninaamini ni wachache kwa wakati tulionao hawaelewi kwamba ndani ya hii hii serikali ya SAMIA wapo wanao mpenda Mama Tanzania na watanzania wote hivyo wamesha alart juu ya ubovu wa mkataba huu chin chin baada ya kuusoma na hawapendi kufahamika.Sasa anakuja mtu anasifu tu wala haelewi ndugu zangu ukisha ambiwa juu ya hatari ya usalama wa nchi,kaa kimya uache nafasi kwa watu wenye akili wajadili ww subiri mijadala mingine ya level yako na utajadili vzr tu,huu mjadala wa bandari wajadili wenye akili ya kisheria,na sio kuvamia kila jukwaa na kuanza kusifia kunakotokana na ulemavu wa kimazoea na kusifia kila kitu.
 
Tutumie kipengele Cha ' non est fuctum' kuukana mkataba, mwanasheria unasemaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…