matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Lipumba na Membe na Lissu wote hata wakiungana hawatakuwa na impact yoyote. Ndio maana nimemtaja ambaye unadhani anauwezo wa kusababisha shinikizo la damu kwa wanaomuaminiKwa kumtaja tu Lissu, basi inaonekana anawapa shinikizo la damu.
Mbona huwataji akina Lipumba na Membe
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mmeshaanza kula na mahindi barabarani na kununua kuku! Subiri TL awanyooshe vilivyo.Lipumba na Membe na Lissu wote hata wakiungana hawatakuwa na impact yoyote. Ndio maana nimemtaja ambaye unadhani anauwezo wa kusababisha shinikizo la damu kwa wanaomuamini
mkuu usijazwe upepo kirahisi hivyo mkuu. Uangalie uchaguzi kitafiti sio kimihemkoMmeshaanza kula na mahindi barabarani na kununua kuku! Subiri TL awanyooshe vilivyo.
Mwaka huu badala ya push ups, mtaruka kichura chura!
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Vipi wamekubali kukupa deal ya kuwatetea?Asante kwa nyongeza. Karibu tena siku ukisoma kilichoandikwa
Ni vizuri anachukua form akiwa na akili baridi za kujua anachokifanya sio kwa kujazwa upepo na wafuasi hewa.Bado hajachukua fomu mko hivi siku akichukua fomu si mtatakiwa kuwa chini ya uangilizi hata wa RED Cross
hahahaVipi wamekubali kukupa deal ya kuwatetea?
Wajumbe tulieni mbona mnahangaika kuliko hata mwenyekiti wenu ambaye ana fomu mkononi?ni vizuri anachukua form akiwa na akili baridi za kujua anachokifanya sio kwa kujazwa upepo na wafuasi hewa.
Hili pekee linatosha kabisa kumwangusha Lisu asipobadirikaTaifa bado linamwangwi wa utisho wa kazi za JPM na maamuzi magumu kama KORONA, Lissu kaanza udalali wa kutaka kutuaminisha watu wanakufa korona kipindi ambacho kila kanisa linatoa ibada za shukrani kwa Mungu kutupa rais Jasiri.