Uchaguzi 2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

Lipumba na Membe na Lissu wote hata wakiungana hawatakuwa na impact yoyote. Ndio maana nimemtaja ambaye unadhani anauwezo wa kusababisha shinikizo la damu kwa wanaomuamini
Wekeni uwanja sawa na msiibe kura Wala kukimbia na maboksi muone kitakachotokea,
 
Mkuu kabla lissu hajarudi nyumbani kuna utopolo ulikuwa unazungumzwa kwamba mwaka huu CCM itachukua kata/majimbo yote ila baada ya kimbunga cha CiC TUNDU LISSU umesikia tena ule utopolo?? They have chickened out yameogopa balaa na mwaka huu upinzani ukijipanga vizuri utachukua majimbo mengi sana kuliko hata ilivyokuwa 2015 kwa sababu mkurugenzi atakayekataa kumtangaza mpinzani aliyeshinda basi ajiandae kukumbana na nguvu ya Umma.
 
Hatuishi nchi nyingi tunaishi TZ , ulitaka waru wauwawe ndio mlazimike kuweka Tume huru?
Tume inaitwa haiko huru, Ila hadi mara ya mwisho natafuta ushahidi wa kugusika wa tume hiyo kutokuwa huru kufanya wapinzani washinde kihalali na wasipewe stahiki zao sijawahi kupata. Mara ya mwisho nilimfuatilia Haji Duni hadi mwisho wake nione angalau evidence zake bado niliambulia patupu.

Kutokuwa huru kwa tume bado sioni kunahalalisha kushindwa kwa wapinzani ambao zaidi ya maneno hawana uwezo wa kutuonyesha ushahidi usio nashaka wa kushindwa kwao kisa tume siop huru zaidi ya wao kutokuwa na nguvu hiyo ya kuaminika kupata ushindi ili tume inwadhurumu
 
Wekeni uwanja sawa na msiibe kura Wala kukimbia na maboksi muone kitakachotokea,
kwa nini usitumie shortcut ya kutafuta wapiga kura wengi mijini na vijini wakati unashughulikia hilo la tume ili hata dunia ione jinsi ulivyodhurumiwa?
Sijawahi kuona au kujua jinsi wapinazni walivyoshinda urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Kuibiwa.
Lowassa hautuonyesha, Menbe hajaonyesha, Nyalandu hajaonyesha wala sumaye sasa unataka nikuamini wewe kuliko viongozi wako mkuu
 
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha.

2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno.

3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM atakuwa na muda wa kutangaza na kuwaonyesha watanzania aliyowafanyia.

4: Taifa bado linamwangwi wa utisho wa kazi za JPM na maamuzi magumu kama KORONA, Lissu kaanza udalali wa kutaka kutuaminisha watu wanakufa korona kipindi ambacho kila kanisa linatoa ibada za shukrani kwa Mungu kutupa rais Jasiri.

5: Wakati wananchi wanameaminishwa MABEBERU ni watu wabaya, LISSU anaonekana kutegemea watu hao ambao wapiga kura wanaamini ni wabaya kama watu wake wa karibu.

6: Tangu amepata Janga la kumiminiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni Risasi Kila akisimama kuongea anaongea yaleyale hadi anaboa. Wakati Tunategemea JPM atoe mambo mapya licha ya kuwa na mengi ya kusema.

7: Kanda ya ziwa huwa inaamua nani ashide uchaguzi kwa idadi kubwa ya wapiga kura, huko tumeshuhudia vitendo vingi vya maendeleo kuliko maneno ya kipinzani na malalamiko. Wanatarajia Lissu utawafanyia nini zaidi ya Meli, Busisi, Barabara, Viwanda, zahanati etc ila naona umejipanga kuwapelekea tuhuma na maneno ya kujirudiarudia.

8: Lissu maarufu mitandaoni ila katika uhalisia kwa wapiga kura Magufuli ni maarufu kuliko Lissu.

9: Lissu amekaa kama mtu anayetakiwa kusumbua mfumo sio kuwa kiongozi wa mfumo wa kuwasaidia watu. Maneno yake, Body language yake haimfanyi mpiga kura aone kuwa hapo kuna jamaa mwenye utisho wa kuwa kiongozi wa nchi. Angalau Membe kidogo.

10: Hakuna mtu wa kuvujisha taarifa za siri za kiserikali na kiCCM ili ziwape wapinzani kiki kama enzi za Dr Slaa. Karibu watu wote wanahofu hata tu kulitaja jina la JPM kimizaha. Kwa kipindi ambacho hakuwepo LISSU nchi imebadilishwa saikolojia kabisa jambo ambalo halihitaji miezi miwili kulirudisha.

11: Kwa sasa JPM haonekani kama Kiongozi wa nchi tu bali pia kama Kiongozi wa Kiroho. Kuna watu leo wanamuamini JPM kuliko hata viongozi wao wa kidini maana Alionyesha utegemezi mkubwa kwa Mungu ktk Corona kuliko hofu za viongozi wao. Sio suala la miezi miwili kumtolea mtu imani.
wajinga ndio watafikiria hayo.
 
Tume inaitwa haiko huru, Ila hadi mara ya mwisho natafuta ushahidi wa kugusika wa tume hiyo kutokuwa huru kufanya wapinzani washinde kihalali na wasipewe stahiki zao sijawahi kupata. Mara ya mwisho nilimfuatilia Haji Duni hadi mwisho wake nione angalau evidence zake bado niliambulia patupu.

Kutokuwa huru kwa tume bado sioni kunahalalisha kushindwa kwa wapinzani ambao zaidi ya maneno hawana uwezo wa kutuonyesha ushahidi usio nashaka wa kushindwa kwao kisa tume siop huru zaidi ya wao kutokuwa na nguvu hiyo ya kuaminika kupata ushindi ili tume inwadhurumu
Kumbe wewe ni mahakama , yaani uchaguzi umefutwa kinyume na katiba , hujaona tu nini maana ya Tume huru?
 
kwa nini usitumie shortcut ya kutafuta wapiga kura wengi mijini na vijini wakati unashughulikia hilo la tume ili hata dunia ione jinsi ulivyodhurumiwa?
Sijawahi kuona au kujua jinsi wapinazni walivyoshinda urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Kuibiwa.
Lowassa hautuonyesha, Menbe hajaonyesha, Nyalandu hajaonyesha wala sumaye sasa unataka nikuamini wewe kuliko viongozi wako mkuu

Mbona hamruhusu Tume kushitakiwa mahakamani kama unasema huoni ?
 
MAGUFULI atashinda kwa sababu moja tu. ALISHAWAKATAZA WATEULE WAKE KUWA NEUTRAL.
 
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha.

2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno.

3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM atakuwa na muda wa kutangaza na kuwaonyesha watanzania aliyowafanyia.

4: Taifa bado linamwangwi wa utisho wa kazi za JPM na maamuzi magumu kama KORONA, Lissu kaanza udalali wa kutaka kutuaminisha watu wanakufa korona kipindi ambacho kila kanisa linatoa ibada za shukrani kwa Mungu kutupa rais Jasiri.

5: Wakati wananchi wanameaminishwa MABEBERU ni watu wabaya, LISSU anaonekana kutegemea watu hao ambao wapiga kura wanaamini ni wabaya kama watu wake wa karibu.

6: Tangu amepata Janga la kumiminiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni Risasi Kila akisimama kuongea anaongea yaleyale hadi anaboa. Wakati Tunategemea JPM atoe mambo mapya licha ya kuwa na mengi ya kusema.

7: Kanda ya ziwa huwa inaamua nani ashide uchaguzi kwa idadi kubwa ya wapiga kura, huko tumeshuhudia vitendo vingi vya maendeleo kuliko maneno ya kipinzani na malalamiko. Wanatarajia Lissu utawafanyia nini zaidi ya Meli, Busisi, Barabara, Viwanda, zahanati etc ila naona umejipanga kuwapelekea tuhuma na maneno ya kujirudiarudia.

8: Lissu maarufu mitandaoni ila katika uhalisia kwa wapiga kura Magufuli ni maarufu kuliko Lissu.

9: Lissu amekaa kama mtu anayetakiwa kusumbua mfumo sio kuwa kiongozi wa mfumo wa kuwasaidia watu. Maneno yake, Body language yake haimfanyi mpiga kura aone kuwa hapo kuna jamaa mwenye utisho wa kuwa kiongozi wa nchi. Angalau Membe kidogo.

10: Hakuna mtu wa kuvujisha taarifa za siri za kiserikali na kiCCM ili ziwape wapinzani kiki kama enzi za Dr Slaa. Karibu watu wote wanahofu hata tu kulitaja jina la JPM kimizaha. Kwa kipindi ambacho hakuwepo LISSU nchi imebadilishwa saikolojia kabisa jambo ambalo halihitaji miezi miwili kulirudisha.

11: Kwa sasa JPM haonekani kama Kiongozi wa nchi tu bali pia kama Kiongozi wa Kiroho. Kuna watu leo wanamuamini JPM kuliko hata viongozi wao wa kidini maana Alionyesha utegemezi mkubwa kwa Mungu ktk Corona kuliko hofu za viongozi wao. Sio suala la miezi miwili kumtolea mtu imani.
Punguza porojo
 
Namba saba ndiyo muhimu kuliko yote, sijui Lissu kama anajua hilo.Kunzia uchaguzi wa mwaka 1995 hadi 2015 terminator ni kanda ya ziwa huu ni ukweli mchungu kwa Lissu
Tayari Lissu alishajipambanua kuwa ana bifu na kina ngosha eti na kanda ya ziwa pale alipotoa tuhuma nzito nzito za uongo kwamba ajira ni za upendeleo kwa kuwapa zaidi kanda ya ziwa
 
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha.

2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno.

3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM atakuwa na muda wa kutangaza na kuwaonyesha watanzania aliyowafanyia.

4: Taifa bado linamwangwi wa utisho wa kazi za JPM na maamuzi magumu kama KORONA, Lissu kaanza udalali wa kutaka kutuaminisha watu wanakufa korona kipindi ambacho kila kanisa linatoa ibada za shukrani kwa Mungu kutupa rais Jasiri.

5: Wakati wananchi wanameaminishwa MABEBERU ni watu wabaya, LISSU anaonekana kutegemea watu hao ambao wapiga kura wanaamini ni wabaya kama watu wake wa karibu.

6: Tangu amepata Janga la kumiminiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni Risasi Kila akisimama kuongea anaongea yaleyale hadi anaboa. Wakati Tunategemea JPM atoe mambo mapya licha ya kuwa na mengi ya kusema.

7: Kanda ya ziwa huwa inaamua nani ashide uchaguzi kwa idadi kubwa ya wapiga kura, huko tumeshuhudia vitendo vingi vya maendeleo kuliko maneno ya kipinzani na malalamiko. Wanatarajia Lissu utawafanyia nini zaidi ya Meli, Busisi, Barabara, Viwanda, zahanati etc ila naona umejipanga kuwapelekea tuhuma na maneno ya kujirudiarudia.

8: Lissu maarufu mitandaoni ila katika uhalisia kwa wapiga kura Magufuli ni maarufu kuliko Lissu.

9: Lissu amekaa kama mtu anayetakiwa kusumbua mfumo sio kuwa kiongozi wa mfumo wa kuwasaidia watu. Maneno yake, Body language yake haimfanyi mpiga kura aone kuwa hapo kuna jamaa mwenye utisho wa kuwa kiongozi wa nchi. Angalau Membe kidogo.

10: Hakuna mtu wa kuvujisha taarifa za siri za kiserikali na kiCCM ili ziwape wapinzani kiki kama enzi za Dr Slaa. Karibu watu wote wanahofu hata tu kulitaja jina la JPM kimizaha. Kwa kipindi ambacho hakuwepo LISSU nchi imebadilishwa saikolojia kabisa jambo ambalo halihitaji miezi miwili kulirudisha.

11: Kwa sasa JPM haonekani kama Kiongozi wa nchi tu bali pia kama Kiongozi wa Kiroho. Kuna watu leo wanamuamini JPM kuliko hata viongozi wao wa kidini maana Alionyesha utegemezi mkubwa kwa Mungu ktk Corona kuliko hofu za viongozi wao. Sio suala la miezi miwili kumtolea mtu imani.
mzee kwa juu juu tu hivi una sura kama mtu mwenye akili lakini kumbe ni paketi tupu ni wale wale tu. lakwanza hivi wee mzee ccm wanamiaka mingapi kutawala Tanzania kama hujuwi huu ni mwka wa 60 tangu ccm watawale sasa piga hesabu hayo maendeleo yako kwa miaka 60 halafu hivi nyinyi maccm wanavuta bangi au munavuta cocaine sasa hawa makinikia mbwa gani aliye waleta Tanzania hilo lakwanza ikiwa wameingia Tanzania kwa mtutu wa bunduki maana yake mumefeli kuilinda Tanzania isivamiwe na maaduwi je hapo ni mwandawazimu gani atakaye wapa kura ccm
 
Saa 24 zilizopita, post kuhusu Lissu ni nyingi sana kiasi ambacho wachanganuzi wanaelewa kwamba Lissu ni Shujaa.
Tundu lissu anajulikana jf peke ake sababu huku na jobless graduates na wafanyakazi wachache wa wasio na mishara.....jf hata watu laki sita haijafika.....huko vijijni ndanindani mama ntilie wakulima wote magu ndo kimbilio....
 
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha.

2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno.

3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM atakuwa na muda wa kutangaza na kuwaonyesha watanzania aliyowafanyia.

4: Taifa bado linamwangwi wa utisho wa kazi za JPM na maamuzi magumu kama KORONA, Lissu kaanza udalali wa kutaka kutuaminisha watu wanakufa korona kipindi ambacho kila kanisa linatoa ibada za shukrani kwa Mungu kutupa rais Jasiri.

5: Wakati wananchi wanameaminishwa MABEBERU ni watu wabaya, LISSU anaonekana kutegemea watu hao ambao wapiga kura wanaamini ni wabaya kama watu wake wa karibu.

6: Tangu amepata Janga la kumiminiwa vitu vinavyodhaniwa kuwa ni Risasi Kila akisimama kuongea anaongea yaleyale hadi anaboa. Wakati Tunategemea JPM atoe mambo mapya licha ya kuwa na mengi ya kusema.

7: Kanda ya ziwa huwa inaamua nani ashide uchaguzi kwa idadi kubwa ya wapiga kura, huko tumeshuhudia vitendo vingi vya maendeleo kuliko maneno ya kipinzani na malalamiko. Wanatarajia Lissu utawafanyia nini zaidi ya Meli, Busisi, Barabara, Viwanda, zahanati etc ila naona umejipanga kuwapelekea tuhuma na maneno ya kujirudiarudia.

8: Lissu maarufu mitandaoni ila katika uhalisia kwa wapiga kura Magufuli ni maarufu kuliko Lissu.

9: Lissu amekaa kama mtu anayetakiwa kusumbua mfumo sio kuwa kiongozi wa mfumo wa kuwasaidia watu. Maneno yake, Body language yake haimfanyi mpiga kura aone kuwa hapo kuna jamaa mwenye utisho wa kuwa kiongozi wa nchi. Angalau Membe kidogo.

10: Hakuna mtu wa kuvujisha taarifa za siri za kiserikali na kiCCM ili ziwape wapinzani kiki kama enzi za Dr Slaa. Karibu watu wote wanahofu hata tu kulitaja jina la JPM kimizaha. Kwa kipindi ambacho hakuwepo LISSU nchi imebadilishwa saikolojia kabisa jambo ambalo halihitaji miezi miwili kulirudisha.

11: Kwa sasa JPM haonekani kama Kiongozi wa nchi tu bali pia kama Kiongozi wa Kiroho. Kuna watu leo wanamuamini JPM kuliko hata viongozi wao wa kidini maana Alionyesha utegemezi mkubwa kwa Mungu ktk Corona kuliko hofu za viongozi wao. Sio suala la miezi miwili kumtolea mtu imani.
Umenena vyema, wasioamini maneno yako sasa, wataamini Novemba
 
mzee kwa juu juu tu hivi una sura kama mtu mwenye akili lakini kumbe ni paketi tupu ni wale wale tu. lakwanza hivi wee mzee ccm wanamiaka mingapi kutawala Tanzania kama hujuwi huu ni mwka wa 60 tangu ccm watawale sasa piga hesabu hayo maendeleo yako kwa miaka 60 halafu hivi nyinyi maccm wanavuta bangi au munavuta cocaine sasa hawa makinikia mbwa gani aliye waleta Tanzania hilo lakwanza ikiwa wameingia Tanzania kwa mtutu wa bunduki maana yake mumefeli kuilinda Tanzania isivamiwe na maaduwi je hapo ni mwandawazimu gani atakaye wapa kura ccm
Jifunze kuandika kwanza maaduwi ndo wadudu gani???... CCM mbele kwa mbele...
 
Kwahiyo hapo namba 7 mmepeleka maendeleo kanda ya ziwa ili mchaguliwe kwa kishindo? Huu ni ukanda wa wazi kabisa na kipimo tosha kuwa nyinyi mnatugawa, hatuwapi kura na jiwe wenu!

SASA BASI
Wewe na nani??..
 
Back
Top Bottom