Uchaguzi 2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

Kwa kumtaja tu Lissu, basi inaonekana anawapa shinikizo la damu.

Mbona huwataji akina Lipumba na Membe

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Upo wakati ambapo mtu huelezea hofu yake juu ya mtu mwengine pasi yeye mwenyewe kujua kuwa anamhofia ,umemuuliza swali zuri sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata makaburu walijenga miondombinu safi Afrika ya Kusini. Sasa wako wapi? Maendeleo ni watu siyo vitu.
 
Hili pekee linatosha kabisa kumwangusha Lisu asipobadirika
Je majibu mnayo ya watu waliopotea, kina Gwandu Bensaanane etc??
Wasiojulikana waliommiminia Tundu Lisu risasi mmewakamata??
Unafikiri Watanzania ni majuha kama wewe, waendelee kudanganywa siku zote??
 
Je majibu mnayo ya watu waliopotea, kina Gwandu Bensaanane etc??
Wasiojulikana waliommiminia Tundu Lisu risasi mmewakamata??
Unafikiri Watanzania ni majuha kama wewe, waendelee kudanganya siku zote??
Kupoteza watu na kuwatesa watu ni dhambi mbaya na laana,uliyouliza hayo sina ushahidi Nayo, na yalishatokea tayari na yataendele kutokea si Tanzania pekee mpaka huko duniani
 
MKUU UMEELEZA VIZURI SANA TATIZO MACHADEMA MENGI NI MATOTO MAWANAFUNZI YENYE KUFUATA MKUMBO HAYAJUI MAISHA YENYEWE NI KUJA KULOPOKA TU UMU MTU MWENYE AKILI TIMAMU UWEZI KUONA LISU ANASIFA YA KUWA RAISI WA HII INCHI ATA AKIWEKWA NA MAKONDA TU

OVER OVER
 
Kuna mahala pengi tu duniani ambapo palikuwa na hiyo inayodhaniwa tume isiyo huru lakni siku watu waliochoka serikali ziliondolewa bila kujali kuna tume huru au tume fungwa.

Hii sio hoja nzuri mkuu, usiitegemee sana

Hatuishi nchi nyingi tunaishi TZ , ulitaka waru wauwawe ndio mlazimike kuweka Tume huru?
 

Hivi kuna watu wanafikiri kabisa kuwa Lissu anaweza kuwa na nguvu kubwa kushinda Lowasa na ataweza kumshinda Magufuli hahahHaha yani Lissu amshinde Magufuli vijijini kabisa hahahah
 
WEKENI TUME HURU ili mjue vizuri kua hamjui
 
Watu wanafiki hupenda sana kulitaja jina la Muumba ili kuficha uovu wao.

Hakuna mcha Mungu anayeua binadamu wenzake, kuteka, kuwapoteza au kuwatengenezea kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu ili tu wateseke.

Usisikilize mtu anayoyanena hadharani, angalia anayoyatenda ndiyo utajua kama ana Roho wa Mungu au Roho ya Shetani.

Kuna watu wamewahi kwenda mpaka madhabahuni, wakadondosha machozi - kumbe ni unafiki mtupu. Akitoka madhabahuni, anaenda kuongoza kikundi cha wasiojulikana kwenda kuteka, kutesa na kupoteza watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa kachagua mchezaji mmoja linesman kachague yeye kamuajiri yeye na kamisaa wa mcheza kamuajiri yeye kwanini asishinde kwa kimbunga!!
 
Hivi kuna watu wanafikiri kabisa kuwa Lissu anaweza kuwa na nguvu kubwa kushinda Lowasa na ataweza kumshinda Magufuli hahahHaha yani Lissu amshinde Magufuli vijijini kabisa hahahah
Labda vijiji vya kwenu. Lakini vijiji vya kwetu, hata wanaCCM wenyewe, baadhi hawataki hata kumsikia. Aliwaharibia sana uchumi wao kwa kuzuia mahindi kuuzwa nje ya nchi, na kuharibu uhusiano na Kenya ambayo ilikuwa ndiyo soko kubwa la mbao. Nyanda za juu Kusini na Kusini - vijijini walio wengi hawamtaki. Kwanza huko, hana hata kitu cha kuwaonesha kilichofanyika wakati wa utawala wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matagaaa hata wakoloni walikuwa na mengi waliyofanya ila Watanganyika wakachagua uhuru
 
2015 waliungana wakatoka kapa sasa hivi kila mtu yuko kivyake isipokua ccm wameungana na vyama vingine sasa sjui wanategemea ushindi gan, waache waendelee na makelele yao
 
Wapiga Kura wa siku hizi wanajielewa Sana na wengi angalau wamefika shule, hawadanganyiki kirahisa.

Mpaka Sasa CCM itakosa Kura za Vijana waliomaliza vyuo kuanzia 2015 mpaka Leo wako mtaani wanazurura tu, wanaambiwa wajiajiri na hawana mitaji.

Wafanyakazi, Tangu aingie mzee, serikali yake haipandishi madaraja wafanyakazi wala kuwaongezea mishahara.

Wanafunzi wanafunzi wa vyuo vikuu, Wengi wanatoka familia masikini wanakosa mikopo, wanasoma mazingira duni.
Watu woote hao Ni mtaji wa kura wa CDM kwenye kisanduku Cha kura.
Ambao mtaipigia Kura CCM ni wewe na mkeo tu.
 
na tuliwaambia cdm wanajulikana mtandaoni tu watu wakapinga ona sasa kiongozi wenu kakoswa na mawe:

 

hao vijana si hawa hapa kidogo wampige mawe mbowe maskini
wote apo lugha yao moja wanamtaka magufuli, sasa sjui mtaenda kuwaambia nn, msiombe agusie swala la corona kwenye kampeni mmeisha!!!
 
Vijana wa ole Sabaya hao, walitumwa kwenye Mission kwa sababu walipata chochote Kitu....Kwenye kisanduku Cha Kura, Tick Kubwa kwa Mh. lissu
hao vijana si hawa hapa kidogo wampige mawe mbowe maskini
wote apo lugha yao moja wanamtaka magufuli, sasa sjui mtaenda kuwaambia nn, msiombe agusie swala la corona kwenye kampeni mmeisha!!!
 
Vijana wa ole Sabaya hao, walitumwa kwenye Mission kwa sababu walipata chochote Kitu....Kwenye kisanduku Cha Kura, Tick Kubwa kwa Mh. lissu



sasa si ndo maaana mwandishi amehoji watu tafauti, umeskia yoyote anamshangilia mbowe apo? umeona ata mtu anaemshangilia mvowe? hai nzima wametumwa na ccm si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…