Uchaguzi 2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

Endelea kuota tu lazima uje kufuta huu utopolo....
 
Mtanzania yoyote anayeipenda Tanzania huweezi kumwongelea tundu lissu. Penda n hi yako sio mtu. Penda mtu anayependa nchi yako.
 
Siku zote CCM hawalali wanaomba usiku na mchana upinzani usiungane, hadi sasa wamefanikiwa.

Siku upinzani wakiungana historia itaandikwa upya.
Kinachowafanya washindwe kuungana ni ubinafsi kila mmoja anataka kuwa rais sababu kutokua na uelewa mpana wa mambo ya sayansi ya jamii na siasa.... na hiyo ndio faida ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…