Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Change has to come. It is needed this year and not a day longer than Kikwete's tenure. If change is to come through CCM then let it be, but its leader should not and can never be Kikwete. He has failed and stagnated the country in all possible ways for the last 4+ yrs. Kikwete needs to start packing.Not this year but in due time. You can't force change nor rush it. It will come naturally once opposition has matured. Right now we must bring back Kikwete and CCM.
MMJJ, Inabidi uongezee sababu zaidi maana bado JK anaendelea kuzitengeneza. Kwa miaka 4 alikuwa wapi bila kutatua tatizo la msongamano wa magari Dar halafu uchaguzi unapokaribia ndio anakuja kuwadanganya watu na flyovers?Wiki hii tunamaliza zile sababu 51..!!!! phew!!
Mkandara, Kikwete kazi imemshinda tusimtafutie visingizio. Kiongozi ukiwa imara na mfuatiliaji, walioko chini yake wote wananyooka na kuwajibika. Lakini kiongozi akiwa mzembe, mvivu, asiyefuatilia walioko chini yake, mpenda anasa, porojo na vingi vinginevyo vya aina hii, walioko chini yake nao wanaharibika mara dufu. Serikali ya Kikwete ni kama iko holiday, kila mtu anafanya lake binafsi maana hakuna kiongozi wa kuwafuatilia majukumu yao. Lazima Watanzania tukazane kumuondoa JK kwa njia yoyote ile kama tunataka nchi iendelee na kuacha kumtungia visingizio.Kikwete anayo mapungufu yake, yaweza kuwa mengi sana lakini sidhani kama yanazidi ya wale anaowaongoza..Toka nimefika hapa Tanzania ni maajabu tu ya Firaun maanake nayokutana nayo sijawahi kuyaona mahala popote duniani maanake watu wamekuwa kama ndama...hakuna program yoyote inayoweza kufanywa kwa ufasaha na huyo Kikwete mkuu wa nchi hawezi kusimamia kila kitu kuhakikisha ufanisi wake. Kikwete anashindwa kufanikisha lolote sii kwa sababu hawezi yeye ila sisi wenyewe ndio kwanza kila mmoja wetu kaondoa Uzalendo......Pengine Kikwete anahitaji kuwa Dikteta kuweza kuimudu hii nchi yetu lakini kwa kutumia hiyo demokrasia yenu sijui..na pengine haiwezekani kabisa.. hapa ndio Dar es Salaam njoo uliwe ukiwa hai!
Mkandara, Kikwete kazi imemshinda tusimtafutie visingizio. Kiongozi ukiwa imara na mfuatiliaji, walioko chini yake wote wananyooka na kuwajibika. Lakini kiongozi akiwa mzembe, mvivu, asiyefuatilia walioko chini yake, mpenda anasa, porojo na vingi vinginevyo vya aina hii, walioko chini yake nao wanaharibika mara dufu. Serikali ya Kikwete ni kama iko holiday, kila mtu anafanya lake binafsi maana hakuna kiongozi wa kuwafuatilia majukumu yao. Lazima Watanzania tukazane kumuondoa JK kwa njia yoyote ile kama tunataka nchi iendelee na kuacha kumtungia visingizio.
Kasoro Na. 35: Je unadhani ni sifa gani zinahitajika kupata watu wa hizo nafasi?
35: Akionesha kutokujali sifa za watendaji wake amewateua watu mbalimbali wenye utata wa maadili, na elimu na kuwapa nafasi za kuongoza wizara, na idara nyeti. Miongoni mwao:
- Mustaffa Mkullo - Waziri wa Fedha
- Emmanuel Nchimbi - Naibu Waziri wa Ulinzi na JKT
- Andrew Chenge - Alikuwa Waziri wa Miundombinu
- Peter Noni - aliyesimamia akaunti ya EPA ikichotwa na sasa kapewa Benki ya Raslimali (TIB)
- n.k
Hili ndio suala la kufikiria na kuanza kutafuta mpiganaji wa kweli kum-replace JK. Wanaofaa na wenye majina, wote inaelekea hawako tayari kupambana na JK.mbadala wake anaweza kuwa nani?maana asingombee sawa nani agombee?
we ni mkenya? harafu weka wazi shida usaidiwe na siyo kukurupuka tuWabongo kwa unafki!!!!!!!!!!!!!!!UNAFIKI MTUPU!!!!!!!!!
we ni mkenya? harafu weka wazi shida usaidiwe na siyo kukurupuka tu
Mh. Rais mi nakupa Big up wasikuchonganishe hili yai viza likapasukia kwako na wewe libebe hivihivi kisha akimaliza miaka mingine huyo atakaye lichukua limpasukie ili heshima kwako iwepo si unaona kwa BM? Raisi ajaye ndio ataamua kuhusu EPA na mambo mengine ya mikataba. Safi sana kwa Utawala wako maana Ufalme wa milele utauona. safi sanaaaaaaaaa
foolish president