Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

Hivi pengne sijazoea upendo wa dhati?naona kama nafanyiwa mambo mazuri na sistahili kbs?sasa apo tunatibiwaje mkuu
Kwanza ni jambo zuri kuligundua hilo, mana ukijua jambo tayari umelitatua kwa asilimia kubwa.
Kwa mimi nilianza kujiweka na mawazo chanya, kama vile "nastahili upendo wa dhati" na kujisikia hivyo.
Angalia vitu vinavyoenda vizuri kwenye maisha yako na uanze kujiaminisha kwamba unastahili hata kama wengine wanakuambia sivyo (hiyo ndo siri ya imani).
Mwanamke wako akikufanyia kitu kizuri kiangalie hiko msifie kuliko kutafuta makosa yake kila saa.
.
Tafuta mambo yanayojirudia kwenye mahusiano, mfano, labda uliwahi kupendwa na wanawake kadhaa na wote uliachana nao mlipoanza kuwa karibu zaidi. Maana yake inabidi uanze kufanyia kazi kwanini huwa mnaachana mkiwa mnaanza kua karibu? nini kinakuaga chanzo cha kuvunjika mahusiano? huwa naongea maneno gani kipindi kama hiko? vitendo vyangu huwaje? vitendo vyangu vinaashiria nataka upendo?
hayo maswali yatakuongoza kuona vitu vinavyojirudia na kuvifanyia kazi kwa kufanya kitendo cha tofauti na ulivyokua unafanya awali.
 
Ahsante nimeelewa na ndivyo mapenz yalivyo 3 months ushamchoka mtu.
 
Mwisho wa siku wote Duniani tunapita na kila mmoja atahukumiwa kwa matendo yake! Kila mtu afanye analoweza
 
Mkuu umetengeneza kundi gani
 
Hakuna cha MKE anayejiheshimu wala nini,,,, kila Mwanamke ana dau lake au udhaifu wake, amini nakwambia 😂😂😂
 
Aisee
 
Wanaume mnashida Moja mnaoa mnaacha mwanamke ndani Kisa ni pambo,mtu anavumilia hadi anarudi kupuyanga,analiwa za USO hadi Raha halafu akishanogewa unarudi acha tu mnashida sana , Kuna wanawake nyie mnafikiri kuliwa njee dili mnaacha waumw zenu wanawasubiri wapewe shoo mnajifanya mpo busy shuwain wakutoka nje mnalia Lia shindweni watu wa hivi tulieni kwenye ndoa zenu .
 
Hakuna cha MKE anayejiheshimu wala nini,,,, kila Mwanamke ana dau lake au udhaifu wake, amini nakwambia 😂😂😂
Mie nikiolewa naenda kuitunza familia siwezi kuliwa njee Hilo siwezi Kisa nilishaachaguaa ila ndoa inahitaji ubunifu
 
We kijana hivi ukiingia kwenye ndoa utadumu huko kweli?!
 
We kijana hivi ukiingia kwenye ndoa utadumu huko kweli?!
Mrembo, hayo niliyoandika siyo msimamo wangu bhana!

Kuna mdau aliandika tu Law of Diminishing Marginal Utility bila kudadavua, mwingine akaomba ufafanuzi, ndo mie nikafafanua nikihusisha mada mezani Ili ieleweke.

Ukifuatilia quotes kurudi nyuma utaona hoja ilipoanzia!

Mjumbe hauawi mkuu😁
 
Hakuna justification ya mwanamke kutoka nje ya ndoa au mahusiano yake. Malaya ni malaya tuu.

Yaani ana mahusiano yake au ndoa yake ila anaenda kugongwa nje eti sababu hii na hii na hii. Hapo hakuna cha wife material wala nini.

Mke au dem wako aki cheat ni kutema naye.
 
Sijasoma uzi ngoja nijibu kwa uelewa wangu.

Wanaume mnaendekeza sana ngono afu mnajisahau mbaya zaidi kujisahau kwenu mnasahau tena kwamba mmeoa vilaza mwanamke anakua na akili ndogo ukichepuka nayeye anachepuka afu mnaishi kibachela ndani ya ndoa hamuwez kupona.
Wanaume kua vitombi hatukatai ila mmekua vilaza kiasi cha wanawake zetu kugundua nyinyi ni vitombi mbaya zaidi mmeoa au kutembea na vitombwi sasa ukimvuruga na yeye anato....[emoji23]eti anakulipizia
Mtuliage mnapotaka kuoa ii mkikosea mke asitoke nje. Mwanamke anaejielewa hatoki nje ya ndoa milele, unless umekua tahira unachepuka na humpi haki yake mwanamke wako. Si mnajua tuko na libido kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…