Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

Haya mama
Karibu
Sie tumekaa paleee
Halafu na bahati na vizee sijui why naoelewa tu halafu naenda kuishi miaka mitano naye halafu nakuwa single Tena Sasa mi nifanyaje na wakaka hawanioni nanimdogo mwenzao eti wanadai nataka vitu vikubwa
 
Wamejazana KWA mitume na manabii wa uongo wakiwatajirisha kwa upumbavu wao wa kuzichezea ndoa zao Huwezi ukashindana na asili
 
Halafu na bahati na vizee sijui why naoelewa tu halafu naenda kuishi miaka mitano naye halafu nakuwa single Tena Sasa mi nifanyaje na wakaka hawanioni nanimdogo mwenzao eti wanadai nataka vitu vikubwa
Na uwezo wetu mdogo hebu penda
Vidogo tulivonavyo uone kama hatujakueka ndan
 
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki.

Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze nao maisha, wao kutoka nje ni kama mchezo, kwaiyo sitowazungumzia hao sababu ni kutwanga maji kwenye kinu.

Usije ukawachanganya hao na wanawake wenye utu. Nitazungumzia wanawake wenye utu lakini wanajikuta wametoka baada ya kufanya uamuzi aidha watoke au wakubali matokeo na kuishi nayo, hawa tuwaite wife material.

Mwanaume kuanza kumsaliti mkewe. Kuna sababu nyingi za kutoka nje lakini mara nyingi huwa ni kwamba mwanaume amegombana na mkwewe kufikia hatua hawaridhishani na wote (au mmoja) wamekata tamaa kwenye mahusiano yao.

Wife material huwa na uvumilivu sana, anaweza vumilia hata kwa miaka mume wake kumsaliti, lakini maji yakimfika shingoni naye anatoka nje ili kulipiza au kutafuta hali ya kuridhishwa. Kama Diamond kwa Zari. Hapa nashauri kama unapenda mahusiano na wanawake wengi muweke wazi mapema, wanawake ni waelewa sana.

Mahusiano kuwa ya mazoea. Mwanaume umetoka adhuhuri, umepiga kazi jioni umerudi unalala moja kwa moja, halafu kesho asubuhi unaendelea na mzunguko huo huo! Hamna changamoto mpya, ghafla una kitambi kisichoeleweka na mkeo huoni shepu yake tena, mpo mpo tu (sexless relationship). Mwanamke atavumumilia kwa muda lakini akipata changamoto sehemu nyingine ya kumfanya ajisikie uhai upya, lazima atatoka.

Kutoridhishwa kitandani. Mnaweza mkawa mnaishi vizuri tu na kupeana changamoto, lakini kuna wife material wanaopenda kufanya mapenzi kwa staili tofauti, anataka akunjwe kunjwe, abananishwe vizuri na kufanya mazingira tofauti. Wanataka kufikishwa kileleni.

Hawa humvumilia mwanaume kwa kujipa moyo mambo yatakua mazuri mpaka watakapochoka kuvumilia. Kwaiyo atatoka ili tu akakunjwe kiuno vizuri, hata kama unampatia mahitaji mengine yote vizuri.

Mwanaume kuwaza na kuamini atasalitiwa tu. Anaweza akawa anamfikisha kileleni na mahitaji yote anampatia lakini kauli zake ni za usaliti na stori zake (anazosoma na kuandika) ni za usaliti na haamini kama kuna mwanamke mwaminifu.

Mfano, anamwambia mwanamke “yani we siku ukinisaliti sijui itakuaje?” “wasije wakina nani/ walionizidi wakakuchukua”. Kichwa chake kinakua kinawaza ipo siku atasalitiwa kama wengi wanavyoaminishana, mawazo yetu yanatengeneza imani na kwa kuwa ukiaminicho ndicho ukipatacho (hata vitabu vitakatifu vimeandika mfano Math 9:29, na haijalishi wewe ni dini gani) basi hamna namna zaidi ya kusalitiwa, alafu utamsikia akisema wanawake sio wa kuaminika.

Ndio mana nimetengeneza kundi la infinite kiumeni ili wachache wenye mawazo mazuri na chanya wawe pamoja (ndege wafananao huruka pamoja) waweze kujifunza zaidi kuwatunza wanawake wao na kujenga nao maisha.

Mwanaume kulega kwenye mahusiano. Mwanaume akiacha nafasi yake ya uongozi mwanamke huichukua japo hawapendi ila ili mahusiano yaendelee hana budi.

Mwanaume hupangiwa unyumba au unakuta mwanaume hana sauti kwa mkwewe, anachukuliwa kama mwanamke mwenzake. Hakuna wife material ambaye yupo tayari kulala na mwanamke mwenzake hivyo atatafuta mwanaume nje ili amuongoze.
.
Trauma ya upendo (kwa kiswahili sijui niiwekeje). Hii ni pale mtu anakua haamini kupendwa kwa dhati, mtu akipendwa anaona kama anadhuriwa, mwili na akili yake havijazoea hali ya upendo wa dhati. Hutokea kwa wanaume na wanawake.

Kuna binti aliwahi nipenda sana ila kwa kuwa sijawahi kuushuhudia upendo wa dhati niliyaharibu mahusiano, ndo hapo nikajifunza hili na kulifanyia kazi. Hata mwanamke naye anaweza kuwa wife material lakini kama hajawahi kupata upendo wa dhati, siku akiupata utamshinda na atayaharibu mahusiano tu.

Hii ni tofauti na kuamini kusalitiwa, mtu unaweza usiamini katika usaliti lakini unajikuta huwezi kuhimili majukumu ya upendo wa dhati, kwa kuwa umezoea upendo wa juu juu/ kawaida.

Sababu nyingine ni ndoa za kulazimishana, mwanaume kutoweza kutungisha mimba hivyo mwanamke anakua katika presha kubwa, makundi ambayo mwanamke yupo, mwanaume kushindwa kumsoma mwanamke wake yupo katika hatua gani ya upendo.

Ukiangalia hapo asilimia kubwa ya vyanzo ni mwanaume mwenyewe sababu mwanaume ndio kiongozi, yeye ndiye anatakiwa aongoze mahusiano kule anakotaka yeye kwa wife material wake.

Hivyo ni muhimu kwa wanaume kujifunza jinsi ya kumuongoza na kuishi na wife material vizuri, hao wanawake aina nyingine utapasua tu kichwa chako huwezi ukawabadili mpaka wao wenyewe waamue, hivyo usihangaike nao. Karibu infinite kiumeni upate kujifunza zaidi.

Mtasumbuka sana na wanawake, huwa anataka usichompa. Utampenda utamwongoza, atataka hard-core, f em
 
Mie nikiolewa naenda kuitunza familia siwezi kuliwa njee Hilo siwezi Kisa nilishaachaguaa ila ndoa inahitaji ubunifu
Kumbe hujaolewa bado??
Hapo ulipo unamiliki only 50% ya ulonayo kichwani kuhusu maisha yako ndani ya ndoa...
Hiyo 50% anayo huyo atakayeishi na wewe...
Sasa hapo kuna kuongezeka au kupungua kwa hizo asilimia zako kutegemeana na maisha mtakayoishi haswa baada ya ile miaka ya mwanzoni ya uchanga wa ndoa,,,
 
Kumbe hujaolewa bado??
Hapo ulipo unamiliki only 50% ya ulonayo kichwani kuhusu maisha yako ndani ya ndoa...
Hiyo 50% anayo huyo atakayeishi na wewe...
Sasa hapo kuna kuongezeka au kupungua kwa hizo asilimia zako kutegemeana na maisha mtakayoishi haswa baada ya ile miaka ya mwanzoni ya uchanga wa ndoa,,,
Haya sawa
 
Sijasoma uzi ngoja nijibu kwa uelewa wangu.

Wanaume mnaendekeza sana ngono afu mnajisahau mbaya zaidi kujisahau kwenu mnasahau tena kwamba mmeoa vilaza mwanamke anakua na akili ndogo ukichepuka nayeye anachepuka afu mnaishi kibachela ndani ya ndoa hamuwez kupona.
Wanaume kua vitombi hatukatai ila mmekua vilaza kiasi cha wanawake zetu kugundua nyinyi ni vitombi mbaya zaidi mmeoa au kutembea na vitombwi sasa ukimvuruga na yeye anato....[emoji23]eti anakulipizia
Mtuliage mnapotaka kuoa ii mkikosea mke asitoke nje. Mwanamke anaejielewa hatoki nje ya ndoa milele, unless umekua tahira unachepuka na humpi haki yake mwanamke wako. Si mnajua tuko na libido kubwa.
Yeap
 
Maandiko yalisema tuishi nao kwa akili inatosha tusiongezeane mengine vichwa vyetu vitakrek
😂😂😂 Sasa hiyo akili ndio tueleweshane maana hata wao wamesoma hayo maadiko wasije wakatuzidi hiyo akili kama Hawa alivyoonesha kumzidi akili Adamu akaanza kumuelekeza Cha kufanya wakati Adamu ndie aliyeumbwa kabla yake.
 
Hii mada ijadiliwe kibaiolojia(kisayansi) kuuelewa mwili WA Mwanadamu na michakato yake ama ? Kimaadili aka kishubwada? Kumkandamiza ke kwamba Hana mamlaka yakujipangia nini afanye Kwa ajili yake binafsi
 
Back
Top Bottom