Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

Haya mama
Karibu
Sie tumekaa paleee
Halafu na bahati na vizee sijui why naoelewa tu halafu naenda kuishi miaka mitano naye halafu nakuwa single Tena Sasa mi nifanyaje na wakaka hawanioni nanimdogo mwenzao eti wanadai nataka vitu vikubwa
 
Wamejazana KWA mitume na manabii wa uongo wakiwatajirisha kwa upumbavu wao wa kuzichezea ndoa zao Huwezi ukashindana na asili
 
Halafu na bahati na vizee sijui why naoelewa tu halafu naenda kuishi miaka mitano naye halafu nakuwa single Tena Sasa mi nifanyaje na wakaka hawanioni nanimdogo mwenzao eti wanadai nataka vitu vikubwa
Na uwezo wetu mdogo hebu penda
Vidogo tulivonavyo uone kama hatujakueka ndan
 

Mtasumbuka sana na wanawake, huwa anataka usichompa. Utampenda utamwongoza, atataka hard-core, f em
 
Mie nikiolewa naenda kuitunza familia siwezi kuliwa njee Hilo siwezi Kisa nilishaachaguaa ila ndoa inahitaji ubunifu
Kumbe hujaolewa bado??
Hapo ulipo unamiliki only 50% ya ulonayo kichwani kuhusu maisha yako ndani ya ndoa...
Hiyo 50% anayo huyo atakayeishi na wewe...
Sasa hapo kuna kuongezeka au kupungua kwa hizo asilimia zako kutegemeana na maisha mtakayoishi haswa baada ya ile miaka ya mwanzoni ya uchanga wa ndoa,,,
 
Haya sawa
 
Yeap
 
Maandiko yalisema tuishi nao kwa akili inatosha tusiongezeane mengine vichwa vyetu vitakrek
😂😂😂 Sasa hiyo akili ndio tueleweshane maana hata wao wamesoma hayo maadiko wasije wakatuzidi hiyo akili kama Hawa alivyoonesha kumzidi akili Adamu akaanza kumuelekeza Cha kufanya wakati Adamu ndie aliyeumbwa kabla yake.
 
Hii mada ijadiliwe kibaiolojia(kisayansi) kuuelewa mwili WA Mwanadamu na michakato yake ama ? Kimaadili aka kishubwada? Kumkandamiza ke kwamba Hana mamlaka yakujipangia nini afanye Kwa ajili yake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…